Recent content by The firstone

  1. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi naona wanafanya hivi kutikana na nature ya kazi au ofisi zenyewe za kitanzania ,waanze kupambana na how can you kazi yenyewe halmashauri ya mlimba huko sijui sitimbi lakini kwa interview za vyuoni swali la how ni must na possible kwasababu part kubwa ya kazi unafanya ww kama mwalimu
  2. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana ukawe mtumishi mwema
  3. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Direct nilifanya interview mwezi wa pili
  4. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi pia leo nimepata kuchomoka kwenye pdf la utumishi Mungu amekuwa mwema sana baada ya miaka 7 ya kuhangaika na vibarua vya hapa na pale. Tusife moyo kwa ambao bado hatujapata tuendelee kusubiri kwa imani
  5. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Note: Na refariii wasipo fika wa tatu unakuwa disqualified kwenye post za ajira portal
  6. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa mimi ninavyojua kwenye ajira portal CV huwa inakuja automatically baada ya ww kuweka info zako na tukiwa tunaomba kazi pale huwa wanasema tuweke sign letter tu huwa hakuna sehemu ya CV
  7. The firstone

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Cover letter ni tofauti na CV CV inaeleza wasifu wako cover letter inaelezea kwann wakuajiri
  8. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sithani kama kuna shida yoyote
  9. The firstone

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huwezi kuitwa hata ikitokea umeitwa kimakosa huwezi kuingia kwenye chumba cha interview huwa wanakagua GPA mlangoni
Back
Top Bottom