Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Hello, kama umepata div 3 ya 25 na unataka kujiunga na kozi ya shipping au clearing and forwarding utakubaliwa chuo.
 
Kwa hiyo sisi 2lio ishia darasa7 kazi hatufanyia au
Baba yangu ni dereva mkongwe ambae amefanya kaz kwenye shiriki ya UNHCR kigoma miaka mingi mnoo..
Ila yeye elimu yake ni darasa la saba zaman kabsaa
Aliachaga kazi kwenye shirika, then akaja kupata kaz halmashauri ila baada ya muda wakamtoa wakamwambia wanahitaj cheti cha form 4
Aliend mpka kurenew lesen VETA na mzee mzima akasoma.ila wap
Bila kupata chet cha form ajira serikalini amezikosa

Ila.kimtaa mtaa huwez kosa kazi za dereva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom