Recent content by The Don C

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2006, Kamati ya Bunge la Marekani ilikataa mpango wa kuipa DP World mkataba wa uendeshaji Bandari zake 6

    Mama alisema atakua Ikulu akiangalia Bandari 😄
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Kumejitokeza tabia ya Watu kutumia vibaya Uhuru wa kutoa Mawazo kwenye Mitandao

    Maria space ya tweeter ishawakera
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Tuanze na wew jibuu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Umeamin vip
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani bungeni

    Suala je Rais halitambui hili au kamasusia ndugai
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani bungeni

    Duh kwa kili hizi tutafika kweli
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani bungeni

    Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vijana wabaka wazee wakiamini ni tiba ya UKIMWI

    Ile ujinga iko kenya
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Ni utaratibu maaskari kusamehewa, Pia wale wa tuhuma ya madini Mwanza walisamehewa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    Hatuwez pambana nae only Jesus can do that
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    As Christian nijuavyo dhambi ni uasi uasi ni kwenda kinyume /against God sasa kwanin shetan alitoka wapi ...? One thing Shetan ni jina la laana kabla hapo alkua lusfa... Lusifa then shetan huyu hakwenda against sheria za Mungu bali kutak utawala kabisaa yaani kumpindua Mungu utawala wake apa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali ndo kamaliza kutueleza maana ya SADC?

    Hahahahaaaaa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hakupaswa kumuumba binadam kabla hajarekebisha makosa yaliyosababisha shetani kuasi.

    Kuna jambo kubwa limezungumzwa mara nying kwe biblia kuliko jambo lolote lile nalo ni "UFALME WA MBINGUNI" Apa ndipo kuna siri zote yahitaji uongozi wa Roho Mtakatifu kujua kila kitu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

    Kama hutojali bro nitumie link telegram ni follow channel yako kujua mengi coz una madini 😋😋 zaid I hope una group kule naona what's app hupendelei
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

    Aisee kuna Mada hua zanipitaga sana na jamaa angu ivi ivi mkoani alienda kuogelea sehem flan porin kwe mto akapotelea kesho yake kaonekana nje ya mto tiari mbele za haki nakukubali sana Mshana Jr
Back
Top Bottom