Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Nakumbuka pale kwetu mabibo MABWAWA 7,tumepoteza sana rafiki zangu.je inawezekani ni CHUNUSI?NA KAMA NI YEYE ALIKUA ANAKAA WP IKIWA BWAWA YA KUCHIMBA?@msahajr majibu.
 
Nakumbuka pale kwetu mabibo MABWAWA 7,tumepoteza sana rafiki zangu.je inawezekani ni CHUNUSI?NA KAMA NI YEYE ALIKUA ANAKAA WP IKIWA BWAWA YA KUCHIMBA?@msahajr majibu.
Huyo ni yule wa kishirikina
 
Dunia Ina mengi sana ya ajabu.....

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nimeenda kutembea kijijini....

Siku moja usiku mkubwa nikasikia mbwa wanabweka isivyo kuwa kawaida....kwa watu wa kijijini au waliowahi kufuga mbwa watakuwa wamenielewa!!!....

Kelele kali za zikanilazimu nitoke nje usiku nikiwa na panga na gongo moja zito sana!!!....nilitoka nikijua labda ni mnyama wa porini ameingia mitaa hiyo kimakosa hivyo nilitoka kwenda kumkimbiza!!!......

Nikawa naelekea usawa wa kule walipo mbwa.....
Mbwa waliponiona wakanikimbilia huku wakibweka!!!.....nikasogea kidogo nikaona kuna kitu mbele mfano wa mtoto mdogo sana!!!....naweza kusema kwa udogo wake ni kama wa miezi nane au tisa....lakini akiwa amevaa nguo!!!.....

Nilisisimka mwili lakini nikajipa ujasiri nikawa nasogelea pale kilipokaa!!!.....

Muda wote huo mbwa wanabweka lakini nyuma yangu tu hawathubutu kusogea pale karibu!!!....

Nilipofika karibu nikakaona kamejiinamia huku kakiwa kamevaa uniform za shule......lakini kalikuwa ni kadogo sana kiasi huwezi kusema ni mbilikimo au ni mtoto wa chekechea!!!....

Nikasimama mbele yake huku kakiwa kamejiinamia tu.....

Baada kama ya dakika 3 kakasimama kanatembea....nikasema Ngoja nikafuate nione kataingia nyumba gani....kalivyoniacha hatua kama kumi hivi kakapiga kona.,...nilivyokuja sikukaona tena......

Nikarudi ndani kulala.....asubuhi niliamka kichwa kikiwa kinauma vibaya sana!!....yale maumivu sikuwahi kuyapata tangu nazaliwa....mpaka nilipoenda kwa mtaalamu....akaniambia nilikutana na kitu kibaya usiku wa juzi....na akanichanja dawa fulani kwenye Paji la uso na kichwa kikapoa hapo hapo......!!!

Dunia Ina mengi....
 
Dunia ina mengi kwetu haya makitu yanakaa mtoni majiyaliotulia unawezakuta mbele ya mto na nyuma yanatembea spidi penye chunusi yanakuwa kimya kama hayatembei,likikaribia kukamata windo lake panavuka moshi na kelele kama vive kuna kaya huko kwenye Maji.

Tabia nyingine huwa anahama baada ya muda flani au kujulikana na watu wakianza kutumia tahadhari pia hurudi tena,
Ukiwa kwenye process ya kukuzamisha ikatokea damu yako imedondokea kwenye Maji Basi umepona unaachiwa .
Inatabia ya kutega chambo zake/mtego

Akifanikiwa ukizama ukiibuka ni Marehemu na sehemu hizi huondolewa Sehemu za siri ,macho,pua ,kitovu.
Maajabu yake ukizamishwa atakama dimbwi la maji ni digo huwezi onekana ata wakikutafuta vipi.mpaka uibuke wamalize yao.
Kuna mapacha wawili walisha toweshwa namna hiyo ilikuwa msiba mzito kijijini.

Siku moja tukiwa tunaenda SHAMBA la shule msimu wa mvua mwenzetu kavua viatu kakamatia mkononi wakati wa kuvuka Mara paaa kimoja kikampokonyoka tukamsaidia kukifukuzia mnaenda mnakifikia ukitaka kukichukua kinaenda spidi Basi bwana kikafika mahala kikawa hakitembei kimesimama Maji yametulia ile tuenda kudumbukia kwani tulikuwa tunakifukuzia kwa pembeni kwenye mashamba Moshi ulivuka gafla kila mtu alikimbia Tukaachana nacho,kiatu kilikuwa kama chambo.
Najua kuna watu wanaweza nitambua kupitia post hii tulio soma wote msingi.
 
Dunia Ina mengi sana ya ajabu.....

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nimeenda kutembea kijijini....

Siku moja usiku mkubwa nikasikia mbwa wanabweka isivyo kuwa kawaida....kwa watu wa kijijini au waliowahi kufuga mbwa watakuwa wamenielewa!!!....

Kelele kali za zikanilazimu nitoke nje usiku nikiwa na panga na gongo moja zito sana!!!....nilitoka nikijua labda ni mnyama wa porini ameingia mitaa hiyo kimakosa hivyo nilitoka kwenda kumkimbiza!!!......

Nikawa naelekea usawa wa kule walipo mbwa.....
Mbwa waliponiona wakanikimbilia huku wakibweka!!!.....nikasogea kidogo nikaona kuna kitu mbele mfano wa mtoto mdogo sana!!!....naweza kusema kwa udogo wake ni kama wa miezi nane au tisa....lakini akiwa amevaa nguo!!!.....

Nilisisimka mwili lakini nikajipa ujasiri nikawa nasogelea pale kilipokaa!!!.....

Muda wote huo mbwa wanabweka lakini nyuma yangu tu hawathubutu kusogea pale karibu!!!....

Nilipofika karibu nikakaona kamejiinamia huku kakiwa kamevaa uniform za shule......lakini kalikuwa ni kadogo sana kiasi huwezi kusema ni mbilikimo au ni mtoto wa chekechea!!!....

Nikasimama mbele yake huku kakiwa kamejiinamia tu.....

Baada kama ya dakika 3 kakasimama kanatembea....nikasema Ngoja nikafuate nione kataingia nyumba gani....kalivyoniacha hatua kama kumi hivi kakapiga kona.,...nilivyokuja sikukaona tena......

Nikarudi ndani kulala.....asubuhi niliamka kichwa kikiwa kinauma vibaya sana!!....yale maumivu sikuwahi kuyapata tangu nazaliwa....mpaka nilipoenda kwa mtaalamu....akaniambia nilikutana na kitu kibaya usiku wa juzi....na akanichanja dawa fulani kwenye Paji la uso na kichwa kikapoa hapo hapo......!!!

Dunia Ina mengi....
nimesoma kwa kusisimka
 
Aisee kuna Mada hua zanipitaga sana na jamaa angu ivi ivi mkoani alienda kuogelea sehem flan porin kwe mto akapotelea kesho yake kaonekana nje ya mto tiari mbele za haki nakukubali sana Mshana Jr
 
Occupation ?????
Nimegundua Ww n wakusamehewa tu!!
Screenshot_20190610-134049.jpg
 
Watoto wakishua wote hawaijua dunia na mazingara yake.ukiona mtu aamini uchawi basi ajarongwa,ajatembea,na wala hajawai kukaa mbali na baba na mama.nilishawa wai kukutana na KUNDI LA WATU,km 500.nikiwa natoka disco miaka hiyo.mbaya zaidi nilikua mwenyewe.rakini kwa sababu nilikua najua kua hawa ni wachawi nami nikajibarisha kua mchawi zaidi yao..!!NILIVUA NGUO zote alafu nikapita katikati yao.baada ya kuwapita kugeuka nyuma hakuna mtu.apo sasa ujasiri wote,kwisha aaah mbio kelele...mpaka home.sirudi kwenda disco tena.
 
Back
Top Bottom