britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Magufuli yuko salama anachapa kazi
Kassim majaliwa hajawahi kunivutia, ana bahati ila hana Karama ya uongozi. Anataka kila mtu amsifie na kumpongeza hata kama wamevurunda!Akiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Tumetoa ajira 8000 jujuzi tu watu wanaendelea kuripoti"Rais ni mzima yuko anachapa kazi"
Kama wewe ulivyosema rais anachapa kazi mzima... matumizi mabayaAkiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Akiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha
kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Hapo kwenye waziri wa mambobya nje ni wazi mlengo ni yule mwehu wa ubelgijiAkiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Yeye mama hana akili?Kama kulikuwa na neno kuwa rais Samiah anashauriwa vibaya basi huyu jamaa ni mmojawapo pamoja na Mwigulu Nchemba,Job Lusinde,Job Ndugai hawa ndiyo wanaomharibia huyu mama ili 2025 wamwondoe kirahisi.
Maria space ya tweeter ishawakeraAkiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Mwambiemi agunge mitandao yote nchini ili turudi kuwa na magazeti la Uhuru, Mzalendo na mfanyakazi kama miaka ya 80 na 90.Akiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa
Majaliwa amesema "Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kutumia vibaya haki ya uhuru wa mawazo. Matumizi mabaya ya mitandao yamesababisha kusambazwa kwa taarifa za upotoshaji na wakati mwingine kudhalilisha Watu, vikundi ama Viongozi"
Hata kauli ya kutaka radhi kwa umma hakuna,"Rais ni mzima yuko anachapa kazi"