Recent content by The Dojin

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Heeee heee mashoga wameanza kuja na mikakati you bera wachi your back
  2. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Simple, ukijua boss anatemebea na mfanyakazi wake avoid yule mfanyakazi anayetembea na boss....No access to your daily life
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Sasa wewe upo upande gani wa support ya mtoto wa nje ni HARAMU?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Watu wapo busy kuchambua mademu za watu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Ukizae huna akili nimekushangaa kwanini niwe nimezaa na mtu ambaye sio blood related useme eti ni mtoto ni haramu
  6. T

    JamiiForums Tanzania JARIDA LA NCHI YETU TOLEO Na. 1015 la Septemba 2026

    Melezo marefu mnamaliza miti tu kwa kusifu na kuabudu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaendelea kuibana Tanzania yataka hatua zaidi

    Upuuzi mtupu sasa hapo wameibana nini? kama deadline zote zilizotolewa na zimepitiliza ilitakiwa waje na vikwazo nje ya hapo hizo ni ngonjera za kwenye harusi za vijijini
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Sasa hata kama ni kioo ndio uje na uzi wa Mademu zake wote?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Unaanzaje kuzaa na mama yako au dada yako?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Masaju: Watu wapewe Haki zao mapema

    Huyu Jaji Mkuu naye ameshakuwa kama muimba taarabu
  11. T

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Apologise in 72 Hours or Lose Your Post: Muhoozi to Nameere

    Ugandans would be in serious trouble if MK became president after Mzee. I can’t even imagine what that would be like.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mambo magumu kila kona. Huna hela ya kula leo asubuhi alafu timu moja inachana mkeka

    Huwezi kuishi kwa kutegemea betting
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Yaani umeleta uchambuzi wa mademu za watu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Mtoto ni mtoto tu hata as long as haujazaa na bloodline wako hayo mengine ya kusema kuna watoto HARAMU unakosea sana
  15. T

    JamiiForums Tanzania Iran yamnyonga Hossein Pedaran kwa ujasusi

    Acha wauwane
Back
Top Bottom