Jaji Mkuu, Masaju: Watu wapewe Haki zao mapema

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,308
Reaction score
18,485
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amesisitiza kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inaweka msisitizo mkubwa katika utawala wa sheria, ulinzi wa haki, na uimara wa asasi za kiraia, huku akizitaka taasisi za utoaji haki kuweka mikakati madhubuti ya kutatua changamoto za kiutendaji ili wananchi wapate haki zao kwa wakati.

Jaji Mkuu amezungumza hayo hivi karibuni wakati akifunga mkutano wa wadau kuhusu ushirikiano na mahusiano katika utekelezaji wa majukumu ya utoaji haki mahakamani, uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, jijini Dodoma

Akifafanua misingi iliyowekwa katika Dira 2050, Jaji Mkuu alieleza kuwa utawala wa sheria ni nguzo kuu ya utawala bora inayolenga kujenga jamii yenye usawa, uwajibikaji, haki, na kuaminiana miongoni mwa wadau na wananchi.

Alibainisha kuwa mikutano ya pamoja kati ya wadau wa Mahakama inafanya kazi kubwa ya kuimarisha kuaminiana katika mfumo wa utoaji haki.

"Na katika dira hiyo pamoja na mambo mengineyo inasema dira 2050 inasisitiza utawala wa sheria, ulinzi wa haki na uhuru wa msingi, usalama wa watu pamoja na uimara wa asasi za kiraia. Lakini pia hiyo inasisitizwa mbele zaidi na kusema utawala wa sheria ambao ni kipengele muhimu cha utawala bora unakusudia kujenga jamii yenye usawa, uwajibikaji haki na kuaminiana", alieleza.

Soma zaidi
 
Sasa mbona haki ya Mushi inacheleweshwa na familia nzima ya Mushi inaambiwa ikamatwe?
 
ok.🐒
 
blah bla kama za Tlaatlaah tu!
 
huyu mzee angeyasimamia anayosema ingesaidia kidogo. ana kaunafique flani mi naona
 
Hiyu Jaji kila diku ni kuongea tu. Yeye si ndiye boss wa Mshakama? Mbona kesi ya Lissu aliipack kwa miezi 3. Aache Uhuni kama kweli yuko serious.
 
Back
Top Bottom