Recent content by The Dee

  1. T

    JamiiForums Tanzania Pakua "HadithiZetu" kufurahia hadithi nzuri na za kusisimua

    App imecontaini hadith zipi? Riwaya, chombezo, hadith za babu zetu wa kale..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Ingekua hapa bongo.. kingepewa jina SIMBA... hahaha natania tuuu....
  3. T

    JamiiForums Tanzania TTCL badilikeni mtoe huduma kama mitandao mingine

    Suala la lisikupe shida .Vocha unaweza kununua kwa njia nyingi.. simbanking, Mpesa, scratch card, top up.. na nyingine nyingi..
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maana ya msemo wa "kinyume na maumbile

    Duuuh... hapa naona kama mtu wa diploma anafundisha maprofesa... nisikilizie kivumbi chake...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nampenda ila tatizo ni mwanaume aliyekataliwa kwao

    Huo ndo ukweeli... na mchungu kuusikia.. na kuuamini... maana nishashuhudia mara kadhaa watu wanaoachana kwa style hiyo.. wakiwa wanapendana.. na mwisho wa siku wanalianzisha kwa chini chini... mwisho utalea katoto ka jamaa.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

    hahahaaa Sio majungu mjomba ni MASUFURIA TUU...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

    Msukuma.... mpaka ujue kutofautisha kati ya ziwa na bahari...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna kilevi kinaitwa ZANZI huwa kinapendwa sana na wanawake

    Kuna mdada mmoja akinywa hiyo zanzi huwa anachekacheka saanaaa... kila neno anacheeeeeekaaaa.... sasa sijui huwa inakimbilia kwenye bandama...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mzee akutwa gesti na bintiye huko Mbagala, apigwa pingu

    Duuh... kweli sikuiz binadam hawaaminiki tena hata mzazi wako.. si wa kumwamini tena.. maana matukio ya baba kumla binti si la kwanza hilo.. aisee ni hatar sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania For the first time in my adult life, nimepatikana kwenye mapenzi

    Eti wanasemaga UKIONA NYANI MJINI UJUE ANAFUGWA.. subiri aliemfuga akintelekeza atakukumbuka... cha msingi usiwe mbali... kuwa kuwa karibu... na usipoteze matumaini.. ganda kama milima kilimanjaro...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Kama huna uwezo wa kudownload hizo software.. au unatumia windows mobile... au computer... jus ingia youtube kwa kutumia browser usitumie app iliyopo kwenye simu.. then search video unayoitaka kisha ifungue ikiannza kuplay weka pozi nenda kwenye link ongeza ss kabla ya neno youtube mfano...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa kutoka Tigo Pesa kwenda mitandao mingine sio salama

    Me nilimtumia mtu 450000 kutoka tgo kwenda voda... ebhaana ikagoma.. nilihangaishana na tigo wiki nzima na siku kadhaa.... kuanzia cku hiyo nikaapa sitatumia njia hiyo kutuma pesa nyingi bora nimeenda bank tu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-unlock sim card ya Vodacom!!

    Hakuna njia mbadala zaidi ya kuongea na mhudum... wa voda au nenda kabisa voda shop yoyote..
  14. T

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG Galaxy Note 7 yalipuka yaunguza gari aina ya Jeep

    Gari yangu ikiungua bahat mbaya nasingizia nilikua nachaji sumsung note 7...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Post ya mwanamke na comments za wanaume

    We fungua account na mwanamke nae afungue... we kwa mwaka unafriends 500 ye kwa mwez 1000
Back
Top Bottom