Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Huko Mbagala Charambe mzee Damian Kakauru wa Mkuranga huko Pwani amekutwa na binti yake katika harakati ambazo zilitafiriwa ni kutaka kumbaka binti yake ambaye kisheria hana umri wa kujitambua.
Binti huyo alikuwa analalamika kwa mama yake kuwa baba yae alikuwa anamshawishi kufanya mambo ya watu wazima na pia kumshataki kwa mama yake lakini akamuona kama sio muelewa. Binti huyo alifikisha malalamiko yake kwa walimu wake wa shule aliyokuwa anasoma na walimu wakamtafuta mama wa binti huyo lakini mawasiliano hayakuzaa matunda.
Binti akatoa malalamiko kanisani na muumini mmoja akawasiliana na waandishi wa habari ndipo wakampa binti mbinu za kumuingiza mtegoni huyo mzee na wakamfuatilia hai kumfuma gesti na kupelekwa polisi.
Kisa chenyewe kilirekodiwa kwenye video hapo