BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 482
Wapenda msaada kwenye tuta line yangu ya voda imejiblock, kuna mtu alikuwa achezea cm yangu sijui kaifanyaje kablock sim card inaniambia niweke PUK na mm wala sikumbuki kile kidude chaline kiko mtaa gani mbaya zaidi cm card nilikata so vile vinamba vya nyuma haviko mwenye kuweza kunisaidi plz plz msaada siwezi toka kwenda voda niko mwenyewe job na ni simu ambayo inatumika sana kwa kazi zangu za kila siku.
Natanguliza shukrani zangu kwenu plz nisaidieni
Natanguliza shukrani zangu kwenu plz nisaidieni