Recent content by The Buffalo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Internship and experience

    Ok sawa asante. Sema likizo ilikua ndefu, week 8.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Internship and experience

    Habarini wakuu, ninasoma DIT, Bachelor's degree in mechanical engineering, mwaka wa tatu. Sasa hivi tupo likizo, tumetumia karibu week 6 zimebaki week 3 Nilijaribu kuomba internship kwenye viwanda vingi pale Mikocheno industrial area, lakini nilikosa sababu ni kutokuwa tayari kwa viwanda kupokea...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  4. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kp knakufnya usndwe kuzolea kwnye sufuria. 🙄
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

    Watakaomalza kdato cha 4 kwa shule moja roughly n 200 na new entry next year m double ie 400, madarasa yaliopo n kwaajl ya 200 so vp ao 200 extra ?! Sawa wataaalam kwa maana ya waalim unemployed wapo mtaan but ile rate ya kuajiliwa n ndogo uklinganisha nabmahitaji. Rate ya ujenz wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

    Nazani ni mapema sana kuipitisha hio sera. Sababu madarasa ya kidato cha kwanza yatakua double loaded. Na n dhaili tunauhaba wa madarasa. Itakua ni busara kama tukajipanga kwa kujenga madarasa ya kutosha kiasi tuseme, we have extra classrooms and desks nchi mzima ambayo yanaweza kuaccomodate...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Bodi ya Mikopo (HESLB): Wasaidieni vijana wa elimu ya juu kwa kuongeza kiwango cha mikopo

    Gharama za maisha zimepanda; hii ikimaanisha bei za vyakula na bidhaa zingine muhimu ikwemo huduma za steshenari, afya, usafiri, vyombo vya usafi na vingine vingi. Ninayo imani Bodi ya Mikopo ya Elimu yavJuu ya Tanzania (HELSB) mnafahamu na kuelewa juu ya kupanda kwa gharama za maisha na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kifaa badala ya Sola

    S n power bank au !?!?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    So lkiwa la msimu lisipite bandarini nakuajiri vijana zaid ya 1000 usku na mchana ?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kufunga mtambo gesi kwenye gari

    Njoo DIT chaap tu utapata utaratibu kamili
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    N maamuz tu. Koz mkate upo easily accessible kama ungekua haupatikan tungetafuta alternative yake.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Mjomba kuponywa kwa m2 ni imani. sjui unaskia imaniiiiiii. Imanii ni sio k2 chepesi ndugu . Fikiria vzur , yesu Alisema "mwny iman kma punye ya haradani , anaweza kuuambia mlima huu toka hapa nenda kuleee." Try to imagine, wale waliowai kuiona punje ya haradani wanadai n ndogo zaid ya mbegu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    wSio kwa katoriki. Kwetu RC ni Bora ,wabaki waumin 10 na padre m1 kulkoa waumin 1000 na padre 10 wasio-jielewa. Hata mm ikibid ruksa kuzuiwa huduma za kikanisa RC Old seminarian
Back
Top Bottom