Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 455
- 1,011
Wakuu nlikuwa nauliza kuwa hakuna kifaa na Battery kitakacho weza kujichaji pindi umeme upo?
Endapo umeme ukakatika basi kile kifaa na battery kiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili bila kucharge.
Hii iwe tofauti na mfumo wa Panel za sola.
Nawasilisha kwa msaada zaidi.
Endapo umeme ukakatika basi kile kifaa na battery kiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili bila kucharge.
Hii iwe tofauti na mfumo wa Panel za sola.
Nawasilisha kwa msaada zaidi.