mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
2023 post yangu ya kwanza jf
Amin Na wewe pia 🙏🙏🙏🙏Salamu za pongezi kwa kila mdau wa thread hii pamoja na mwanzilishi wake na uongozi wa jamii forum.
Ni uzi ulio bora sana kwangu sio kwa mwaka huu tu bali tokea ulipoanzishwa, umekua faraja sana kwangu na pengine wengi wetu, pale tulipokuwa tuna huzuni tumekata tamaa, tumevunjika moyo na kila aina ya maudhui, pindi nifunguapo uzi huu hazipiti post 10 bila kutabasamu na furaha kurudi.
Asanteni sana kwa wale mnaotoa muda wenu kutushirikisha kile mnachokitana nacho chenye maudhui ya kufurahisha na kuposti hapa, i'm sure mmekuwa faraja kubwa sana kwa wengi, asanteni pia kwa like na replies zenu zinatupa hamasa sana na furaha pia .
Heri sana ya mwaka mpya, ukawe ni mwaka wenye furaha amani na tumaini kwa kila mmoja wetu.
Anamaanisha jamaa ni kibamia


Kp knakufnya usndwe kuzolea kwnye sufuria. 🙄
Tutatubu b4![]()
Inamaana hakuwa na dhambi?Kamba!
Wenye dhambi si wanachomwa?Inamaana hakuwa na dhambi?
Mapenzi ya sms au?Kuna watu mwaka mpya wameshafanya Mapenzi![]()
Just imagine na kuna wapenzi wameachana kama tulivyoachana na 2022Kuna watu mwaka mpya wameshafanya Mapenzi![]()