Nitapiga deki kwa mwanamke wangu mmoja tu atakayekuwa mke wangu kwa ajili tu ya kudumisha mapenz lakin siyo kwa Malaya wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ipo ni kama ugonjwa mwingine tu chukuen tahadhari mbona ukimwi maralia watu wanakufa na mnajikinga vile vile na maisha yanasonga.Jikinge mwenyewe chukua tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima maisha yaendelee corona ni Kama maralia tuu kwa Tanzania! Ebu toeni data za watu wanaokufa kwa maralia kwa siku mfananishe na watu wanakufa kwa corona!! Hapo ndo utagundua maisha inabidi yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.