Kitu pekee tunachohitaji kutoka zanzibar kwa sasa ni wachezaji wanaocheza YANGA basi.....!! Muungano tupa kule coz hakuna tutachopoteza kama watanganyika.
Wakuria tungekuwa na mara yetu alafu tungejitahidi kuivamia Geita iwe yetu. Vile vile ng'ombe zote za wasukuma zingekuwa zetu. If wishes were horses....
Huwezi kumhukumu kwa hisia zako .
Lazima
Aliyezingua ni duchu,mtoa mada hana cha kupoteza kama ilivyo kwa Duchu.
Kumbuka lazima kuna ahadi waliwekeana kama washikaji....na aliyetangulia kuvunja makubaliano ni duchu.
Sioni haja ya kumlaumu mtoa mada kwani ni wangapi wenye vipaji lakini hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.