Recent content by the agent

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipende mpira wa miguu

    kwan hapa mkuu tunaongelea mpira au netball na arsenal inacheza mpira wa miguu au netball..sasa tunapoongelea mpira wa miguu bila kutaja timu unafikiri ataelewa sasa huyo mdau anaetaka kujifunza mpira mm nimempa anttetion tu kuwa asishabikie arsenal coz ataumwa ugonjwa wa moyo tim yenyewe shipa...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipende mpira wa miguu

    kwan ww boss ni mshabiki wa timu gan ngoja tuanze na hilo.. kisha kama ww mshabiki wa arsenal bora endelea hvyo hvyo kutoupenda ukija kupenda na tim yako pasua kichwa hyo arsenal utapata ugonjwa wa moyo bure ww endelea kupenda movie na music vitu vya recorded lakn mpira kitu cha live bira chenga
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

    nmb boss
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

    jamn mm mwenyewe nahtaji m.1 ila mm ni mfanyakazi wa serikali so mwenye uwezo anikopeshe baada ya mwezi narudisha dhamana yangu ni vyeti pamoja na kazi yangu inshort siwez acha kurudisha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

    boss hujui hilo mpka leo alikuwa na watoto tena wa 2 wa boss ruge mtahaba
  6. T

    JamiiForums Tanzania Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

    kwahyo watoto wote wawili ni w boss ruge kwan
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mke wa Jose Chameleone ashuhudia mmewe akitandikwa mabanzi na P-funk majani Kampala

    jmn uganda kunani chamilion kala mbata toka kwa p.funk na bob wine naye bungen katembeza kipigoooo haaaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    naona leo mbona movie hii inaishia hewan
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu wa RC na DC kuitwa kujitetea kwenye mhimili wa bunge Mtemi Chenge kakosea

    yaan nishaanza kuhisi makonda tyr kashanza kutafutwa taratibu kumbuka chenge.kina manji ndo sampuli moja na tyr wabunge wote iwe wa upinzan tyr makonda kashawachokonoa sasa hapo patamu epsode 2...patam hapo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    jamn diwan mzungu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya TOYOTA RAUM mpya!!

    boss bei gan hyoo raum
  12. T

    JamiiForums Tanzania SEKESEKE: Wapangaji Majengo ya CDA Dodoma wanatimuliwa muda huu

    hapa kwa mahesabu yangu ya haraka haraka nahs kuna wageni kutoka dar au wizara flan inayohamia dodoma wafanyakaz wanaandaliwa makazi
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua mahali mafundi bingwa wa simu Dar walipo.

    jamn mm nahtaji fundi wa Huawei coz sim yangu Huawei ascend G610 na model G610-u20 imekufa mashine sasa nahtaj fund mwenye hyo Mashne ya cm anichek kwa 0714 591693
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya a.k.a Green City laanza kuchipua upya

    iringa na Dodoma upi mji mzuri
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Huawei Y 530 inasema SD Card Full wakati ina nafasi ya kutosha, nifanyeje?

    Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
Back
Top Bottom