Nahitaji kujua mahali mafundi bingwa wa simu Dar walipo.

wadau mimi nina tatizo na modem ya vodacom inanisumbua sana...yaani kila mara inanambia NO NETWORK, NO INTERNET ACCESS na wakati mwingine inakuwa ipo connected lakini internet haipatikani. nitaichokonoaje ifanye kazi wadau. yaani huwa inafanya kazi kwa mbinde sana.
 
jamn mm nahtaji fundi wa Huawei coz sim yangu Huawei ascend G610 na model G610-u20 imekufa mashine sasa nahtaj fund mwenye hyo Mashne ya cm anichek kwa 0714 591693
 
Back
Top Bottom