Recent content by The African_giant

  1. The African_giant

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kiukweli Jorginho ni liability kwa team zinazo tu press Kaka...Haleti stability inayotakiwa kabisa.
  2. The African_giant

    Mke mwema anahitajika

    Kaka hii ya siku zote
  3. The African_giant

    Mke mwema anahitajika

    Mkuu we unadhani kila mtu bado yupo chuoni tu kitambo tumemaliza enzi hizo
  4. The African_giant

    Mke mwema anahitajika

    Nashukuru mkuu kwa uwezo wa Mungu nitawaeleza
  5. The African_giant

    Mke mwema anahitajika

    Habari! Nahitaji mwanamke wa maisha umri wangu ni miaka 32 nimejiajiri dini yangu ni mkristo Nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 23-26yrs , mwenye kujua nini maana ya familia . Sichagui dini wala kazi lakini awe mcha Mungu. Anicheki Pm au robertpaul225@gmail.com Napenda kuwasilisha.
  6. The African_giant

    Nahitaji Mume

    Mambo
  7. The African_giant

    Uzi wa kutafuta mume/mke

    Salama
  8. The African_giant

    Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

    Humu ndani kuna raia wana IQ ndogo kweli...Yaani watu wanashindwa kabisa kung'amua bandiko la Paschal?. Inachekesha. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. The African_giant

    Wasafi FM's Block 89: A group of noise makers

    Hilo ni genge la Wahuni... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. The African_giant

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Battle ya top 4 inaendelea...Mashetani yamedondosha point tena Sent using Jamii Forums mobile app
  11. The African_giant

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Hahaha Mzee wako alikua ni noma...Hivi kwa nini wanaliita jiwe la Fatuma? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. The African_giant

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Imagine jana tungeshinda game yetu leo tungekuwa wapi?..Kiukweli mentality ya wachezaji wa Chelsea kwenye mechi zinazoweza kutuweka mbali na wapinzani wetu wanaotufuatia ni mbovu sana.. Sijui hii hali itaendelea hadi lini, ni msimu wa tatu mfulululizo sasa kwa team yetu kuingia top 4 inakuwa...
  13. The African_giant

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwani Waingereza wamewafanya nini? si ni ligi yao? Halafu anaeongoza kwa idadi ya magoli msimu huu pale Chelsea ni Mtanzania au?. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom