Recent content by Tetere Enjiwa

  1. T

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Wakiambiwa rais hana nafasi ya kuonana nao kwasababu ratiba yake iko busy mpaka 2014 watafanya nini? Mimi naona hawa wanapoteza muda tu hapa. Inamaana cdm hawajui kuwa yale aliyokuwa anafanya spika na wabunge wa ccm bungeni ni maelekezo ya mkt wa chama chao ambaye ndiye rais wanayetaka kwenda...
  2. T

    Kumbe naweza kuweka new post kwa kutumia simu du

    Hebu na mimi nielekeze ili nisipate taabu kama wewe.
  3. T

    Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

    Wananchi wakiamua wanaweza kusimamisha huu mchakato wote na hata kumuondoa rais ili asiusaaini mswada kuwa sheria. Wewe ni mnafiki mkubwa sana, na unafiki ni dhambi. ukweli ni kuwa wanachi walio wengi hawajafurahishwa na ubabe wa wabunge wa ccm na wake zao cuf na wanatafakari wafanye nini...
  4. T

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Kwa maneno ya mlinzi wa kimakonde ukimeza nchale ukitema nchale. Job true true.
  5. T

    Hatimaye Wale Panya na Mende wa Libya Wamemkamata Saif Al-islam Khadaffi

    Habari ndio hiyo jamani, wale wapiganaji wa libya ambao walidharauliwa na kutukanwa na khadaffi wamefanikiwa kumtia mikononi mwao mtoto wa khadaffi, na wanampleka tripol kwa ajili ya kumshitaki.
  6. T

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    Hapo bolded wengi ndio wanapatilia shaka, kwamba mheshimiwa huyu nidhamu ya uoga ameipata kutoka shule gani? Je mnyika naye kaenda lini shule hii ya nidhamu ya woga mpaka ameaminiwa kuwa apigiwe debe kuwa mkt wa cdm ili aondoe huu utaratibu wa maandamano, ambayo yanawanyima usingizi viongozi...
  7. T

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    Na pata taabu ni saidie, kucompromise na ccm ndio maana yake uwe double agent? Kwa hiyo mnyika naye ni double agent ambaye ni makini kuliko zitto na umepewa kazi ya kumpigia debe, napata taabu kweli.
  8. T

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    Kwa wale wanaopanga maandamano kuhusu katiba mpya, hamuoni kuwa hii ni fursa ya kuitumia kuanza kumpelekea mheshimiwa ujumbe, hata mkamsuburi hapo getini na mabango ya kupinga jinsi mchakato wa katiba unanyoendeshwa.
  9. T

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    ccm na viongozi wake ni janga la kitaifa, katika karne hii ya 21 wao bado wanaendeleza siasa za zama za mwalimu, ubunifu ni zero kabisa.
  10. T

    JK kumuokoa Jairo na Luhanjo?

    Kama kipaumbele chake ni kumuokoa jairo na sio hii dhoruba ya mswada wa katiba mpya ambayo inaweza ikamkumba hata na yeye akaondoka. Basi na sema huyu atakuwa rais wa ajabu kabisa duniani.
  11. T

    Mkakati wa maandamano ya kupinga kusomwa kwa mara ya pili kwa muswada wa kuunda katiba mpya

    Ndugu yangu mbona unataka kuwaingiza waTz kwenye janga kubwa kabisa, huu ushauri wako ni wakipuuzi kabisa. Halafu unawachonganisha polisi na raia kwa nini? Mimi ni wale wanaoamini kuwa polisi wanatumwa tu kutekeleza mpango mkakati ambao umepangwa na wanamkakati kama wewe. Sasa nataka polisi na...
  12. T

    Mkakati wa maandamano ya kupinga kusomwa kwa mara ya pili kwa muswada wa kuunda katiba mpya

    Kuna pahala nilisoma kuwa mapinduzi yenu yalifanywa na kuongozwa jamaa kutoka uganda ila kwa uerevu wa Nyerere ndio akahakikisha karume anawatawala, isingekuwa mwalimu rais wenu wa kwanza angekua mganda, sasa jiulize mwenyewe mnafiki nani hapa? Na Nyerere kwa kumtumia karume huyohuyo akakutawaleni.
  13. T

    Hamad Rashid (CUF) na Ole Sendeka on TBC1

    Mtangazaji anawauliza maswali elekezi na wao wanajibu yale waliokesha wakikariri jana usiku. Kali kuliko yote olesendeka kahitimisha kwa kuwaomba cdm warudi mjengoni wasiende kuwashitaki wabunge kwa wananchi. CDM wakijidnganya waka kubaliana na ushauri huu watakuwa wameliwa, tena kuliwa masaburi...
  14. T

    Hamad Rashid (CUF) na Ole Sendeka on TBC1

    Nilikuwa sijui kumbe hawa wamasai nao wako wa jamii ya kicameroon.
  15. T

    Kama hawakuridhiswa na Zanzibar Chadema basi Wavunje Muungano.

    Mchakato wa kuvunja muungano ndio umesha anza hivyo, kwani wewe huoni au unataka mpaka uambiwe kua muungano utavunjika. Labda nikurahisishie kwa kusema hivi, jinsi ccm na cuf wanavyoendesha mambo yao ndio wanaupeleka muungano kaburini na mpaka sasa wamesha ufikisha icu.
Back
Top Bottom