kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
- Thread starter
- #41
Nani ateue wagombea?
hilo swali la kujadili. Bunge ndo wangetumia nafasi hiyo kujadili na kuweka utaratibu wa uchaguzi. Ingekuwa hivi:
1. Nafasi za vyama vya siasa ikiwa ni mjumbe 1 kila jimbo. Wananchi wapige kura kama tunavyofanya kwa wabunge
2. Nafasi za makundi mbalimbali. Vikundi hivyo vipewe fursa ya kuchagua na wathibitishwe na bunge.
3. Kuna watu jamii inawatambua basi serikali itengeneze utaratibu watu wapendekeze na wathibitishwe na bunge hapaa naongelea jamii ya watu kama shivji,