Recent content by TEMPOLALE

  1. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Anakata rufani kwa waandishi wa Habari
  2. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA na Kuumaliza Kuuelekea 2015

    Seen and saved for consolidation purpose
  3. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    Vp unakaa kwenye hicho kitu kwenye avatar yako?
  4. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    Kwani wee nani hata ungekuwa wa kwanza kuamini? Hivi hujajistukia mpaka sasa kwamba wewe ni uchafu katika jamii???
  5. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    Mahala pema peponi
  6. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

    Huu ni mwandiko wa Zitto
  7. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya usalama wa taifa (TISS) ina bajeti?

    TISS hawakaguliwi kutokana na ukweli kwamba mambo yao yoote wanayoyafanya yanatakiwa kuwa siri, ila tatizo usiri huo unatumika vibaya sana, sidhani kama kuchukua Pesa kudhibiti upinzania ni Kazi ya usalama wa Taifa, sidhani kama kuchukua Pesa kulipa watu kwenye Ishu kama za Ulimboka na Kibanda...
  8. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

    Mama wasira ni mmoja wa Watanzania walio nufaika sana na utawala wa CCM kama walivyo akina Ritz , faizaFox , Simiyu Yetu lakini hawajataka kuendelea kuwa wanafiki wamejitambua.
  9. TEMPOLALE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

  10. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

    Usishangae ukiambiwa STEIN hajapiga kura hapo juu
  11. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Mimi nadhani faida ya pesa kutoka kwenye hizo stika mgawo wake unamfikia mpaka Rais haiwezekani uhuni kama huu unaendelea wazi wazi hakuna mtu anaye upigia kelele
  12. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa fasta kwa Million4.1 tu!!!!!

    Nayafahamu hayo maeneo na CDA wametoa juzi viwanja mbele ya hilo eneo nasikia mafisadi wamevinunua vyote japo bei zilikuwa za kukomoana, nashangaa sana kwanini wamepandisha sana bei ya kununua kiwanja na hata kodi ya kulipia kiwanja imepandishwa yaani kila sqm1 KODI NI Tshs50. wakati ilikuwa...
  13. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    Kuchinja si suala la Muungano
  14. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Tuwatake radhi waarab!

    Polisi imekamata Polisi 16 kwa tuhuma za kushirikiana na maafisa wa TRA kukusanya ushuru kutoka kwa wafanya biashara wanaoingiza magendo kupitia bandari Bubu ya Mbweni, Kova amekataa kuyataja majina ya hao Polisi amedai uchunguzi bado unaendlea je? ni kwanini walikurupuka sana kulitaja jina la...
  15. TEMPOLALE

    JamiiForums Tanzania Polisi 16 wakamatwa Dar

    basi kuna siku moja nilikuwa nimechelewa sana kutoka ukumbumbi wa NSSF Waterfront kwenye harusi ya mdogo wangu, na nilikuwa narudi home Bunju mida ya saa tisa usiku nilikutana na Landcruser moja ya polisi ikisindikiza Loli tena lenye Tera wakiwa wanaingia vinjia vya mtaani usiku hule nikahisi tu...
Back
Top Bottom