Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?

  • Sahihi

    Votes: 404 86.0%
  • Kosa

    Votes: 59 12.6%
  • Sijui

    Votes: 7 1.5%

  • Total voters
    470
  • Poll closed .
Wanaojibu ussengge na uppummbavu na usshenzzi nitawakabili humu,hasira niliyonao ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono
 
Sahihi kuliko maamuzi yote yaliyowahi kufanyika chini ya jua.
 
Kwa matokeo haya sitashangaa nikisikia watu wanailalamikia JF kwamba ni ya Chadema au ya Wachaga maana Wafuasi wa @Zitto wanagaragazwa vibaya!!!!
 
Ni sahihi kwa waandaa mkakati, yaan mkumbo na mwigamba but kwa zito sion kosa lake coz hakushiriki kuandaa huo waraka.
 
Back
Top Bottom