Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

Status
Not open for further replies.
Vipi yule Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Korogwe mbona hajajiuzulu? Mpaka hili litimie ndio nitaamini habari zako........
 
Thrid yako umeandika kama umehitimu kidato cha 4 shule ya kata,ni upuuz..i mtupu kulinganisha dr aliyeiweka juu cdm na ccmizi kabwe.hata ivyo kwa kuwa thrid yako haieleweki haitakuwa na maisha hapa.mods fanyeni kazi yenu,hili sio jukwaa la VIAZI
 
Hakuna mwanaccm atakayekubali kuwa Slaa ni zaidi ya Zitto kwani tunajua Ambaye alishusha kura za Jk kutoka 81% mpaka 60% ni nani.
Jk anajua tishio ni Slaa au Zitto muulize yy.
 
In a simpe logic, kwa mtu ambaye hajaburugwa na kichwa chake kiko vizuri haitaji picha wala thread ya JF kujua kuwa Babu na Zitto, Zitto ni bora zaidi na hasa ubora huo unaongezeka ukiwapima kutokana na maono ya wanakigoma.

Zitto ni mbunge wa Kigoma ambaye kupitia yeye Kigoma ya sasa sio kama ile ya zamani, ambayo haikuwa chini ya zitto, waulizeni wana kigoma wanajua na wanafahamu haya. Lakini labda niwaulize wale bendera fuata upepo ni lipi exceptional ambalo babu kalifanya kwa wanakigoma hata limpe credit above Zitto na watu waamini eti kutoka kwenye thread ya JF kuwa Slaa anakubalika Kigoma kuliko Zitto,ni ajabu!!!

Acha Zitto, kwa uwezo na maarifa mimi binafsi nimemuacha mbali sana Mzee wangu huyu, kwani mimi ninao uwezo wa kupima hali ya hali na kufanya maamuzi stahiki kulingana na hali husika ila babu uwezo huo hana, hivi kweli alishauriana na Mama Junior vizuri na wote wawili wakakubaliana kuwa jamaa aende kigoma ili akamkomeshe Zitto.!!!!

Hata siku moja sikuwahi kuamin kuwa Slaa ana uwezo wa kufanya NCHI HII KUTOTAWALIKA kama ilivyo kuwa siamin Slaa anamkomesha Zitto huko kigoma.

Kwani wee nani hata ungekuwa wa kwanza kuamini? Hivi hujajistukia mpaka sasa kwamba wewe ni uchafu katika jamii???
 
Hakuna mwanaccm atakayekubali kuwa Slaa ni zaidi ya Zitto kwani tunajua Ambaye alishusha kura za Jk kutoka 81% mpaka 60% ni nani.
Jk anajua tishio ni Slaa au Zitto muulize yy.
Slaa hana lolote ajualo. Ndo maana ameamua kuwasujudia polisi aliokuwa anawatukana mara kwa mara. naona amejiangalia akagundua kuwa hapo nyuma na siasa zake za majigambo hazimsaidii. sasa ameanza kuiga siasa za ZITTO za kistaarabu
 
In a simpe logic, kwa mtu ambaye hajaburugwa na kichwa chake kiko vizuri haitaji picha wala thread ya JF kujua kuwa Babu na Zitto, Zitto ni bora zaidi na hasa ubora huo unaongezeka ukiwapima kutokana na maono ya wanakigoma.

Zitto ni mbunge wa Kigoma ambaye kupitia yeye Kigoma ya sasa sio kama ile ya zamani, ambayo haikuwa chini ya zitto, waulizeni wana kigoma wanajua na wanafahamu haya. Lakini labda niwaulize wale bendera fuata upepo ni lipi exceptional ambalo babu kalifanya kwa wanakigoma hata limpe credit above Zitto na watu waamini eti kutoka kwenye thread ya JF kuwa Slaa anakubalika Kigoma kuliko Zitto,ni ajabu!!!

Acha Zitto, kwa uwezo na maarifa mimi binafsi nimemuacha mbali sana Mzee wangu huyu, kwani mimi ninao uwezo wa kupima hali ya hali na kufanya maamuzi stahiki kulingana na hali husika ila babu uwezo huo hana, hivi kweli alishauriana na Mama Junior vizuri na wote wawili wakakubaliana kuwa jamaa aende kigoma ili akamkomeshe Zitto.!!!!

Hata siku moja sikuwahi kuamin kuwa Slaa ana uwezo wa kufanya NCHI HII KUTOTAWALIKA kama ilivyo kuwa siamin Slaa anamkomesha Zitto huko kigoma.

Kwa nini hukutaka kutumia ID zako tulizo zoea? Halafu, Nyie si mmeisha fukuzwa CDM? kwa nini msijikite kujadili CCM? mbona wengi walio hama CCM wakaja upinzani kwa sasa hawaongelei chama walicho kuwa bali chama walichopo. Nyie hamuwezi ishi mjini bila kutaja CDM?
 
Slaa hana lolote ajualo. Ndo maana ameamua kuwasujudia polisi aliokuwa anawatukana mara kwa mara. naona amejiangalia akagundua kuwa hapo nyuma na siasa zake za majigambo hazimsaidii. sasa ameanza kuiga siasa za ZITTO za kistaarabu

Wewe ndo una lolote? Kwa nini usijisifie mwenyewe kazi kusifia wanaume wenzako acha ujinga, wanakubinua nini, Jisofie wewe kama wewe, Wewe umezaliwa ili usifie wanaume?
 
Kwa nini hukutaka kutumia ID zako tulizo zoea? Halafu, Nyie si mmeisha fukuzwa CDM? kwa nini msijikite kujadili CCM? mbona wengi walio hama CCM wakaja upinzani kwa sasa hawaongelei chama walicho kuwa bali chama walichopo. Nyie hamuwezi ishi mjini bila kutaja CDM?

Mkuu, una maana Juliana ana ID nyingine ambazo mmezizoea? tutajie basi japo moja tu
 
hebu jenga hoja kuwa wewe sio mburula halafu slaa sio mzinifu na ni bingwa wa kuvunja ndoa za watu.

Kwa sababu tu alivunja ndoa ya Mama yako na Baba yako? wewe chuku zako kwake ni kwa sababu yeye ndo alifanya Baba yako amtose mama yako
 
Wewe ndo una lolote? Kwa nini usijisifie mwenyewe kazi kusifia wanaume wenzako acha ujinga, wanakubinua nini, Jisofie wewe kama wewe, Wewe umezaliwa ili usifie wanaume?

Hahahahahahaaaa, kwa vile nyie ni bavicha, matusi yenu tunayavumilia tu kwani hakuna muwezacho na muwazacho zaidi ya matusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom