Mkuu nenda properties,wanamradi mkubwa tu huko...hawnaa longo longo, unalipia kila mwezi hadi miaka 24, pia ukiona jau....wanabenk wanaingia naonmikataba,benk inalipa Kisha wewe unalipia benk.....kiwanja chako ndio dhamana.....ukimaliza tu unapewa hati ya wizara bila chenga.....wapo kariakoo...
Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox.
NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Nina pas ya Philips nilinunua mwanza ......hapana kwakweli, basi gani haialibiki....paso Ina miaka 14, tangu 2010, na bado sijuii inaharibika lini....maana ilikuwa inatumika na bweni Zima,lakini wapiiii
Tuvumiliane tu bwa shee...tuna familia, Leo unatusema hivyo, hata wewe dalali ajaye.....kazi ya wahindi sio kazi ndugu yangu....SEMA Amina na mungu atakubariki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.