Kampuni inayouza viwanja kigamboni

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Jun 30, 2015
2,338
2,437
Habari

Nahitaji kampuni inayouza viwanja vizuri kigamboni.

Nia nikukunua kiwanja kikubwa kizuri na itapendeza zaidi kama watakuwa na utaratibu wa kulipa kidogo kidogo.

Shukrani.
 
Mkuu nenda properties,wanamradi mkubwa tu huko...hawnaa longo longo, unalipia kila mwezi hadi miaka 24, pia ukiona jau....wanabenk wanaingia naonmikataba,benk inalipa Kisha wewe unalipia benk.....kiwanja chako ndio dhamana.....ukimaliza tu unapewa hati ya wizara bila chenga.....wapo kariakoo, maeneo ya shule ya Benjamin mkapa. Utakuja kunishukuruuuuuuuuuu
 
Yap Properties Hawa jamaa naskia wapo poa sana
 
Nilipata bahat ya kununua kiwanj kigambon Dege sqr 800 kw Mzee mmoj na hapakuw na MTU WA Kati, Dalali , wala Chawa. wala nan Niliend direct nyumbn kwake. Na anavyo vingi pale Nimenunua 2021 na nimejenga na sijaskia ngonjera yeyot. Uzur Mzee alivipima kabis viwanja vyake so haikunisumbua San nikafatilia now Nina hati ya wizara kabis. Na jiran Yang kanunua mtumish WA Bandar mama mmmoj.
 
Bei gani mkuu
 
Naweza pata mawasiliano yake mkuu
 
TAFUTA KAMPUNI YENYE UMRI ZAIDI YA MIKA 5 UNAWEZA KUWA SALAMA.
KUNA KAMPUNI ZINAUZA VIWANJA KWA WATEJA KULIPA MALIPO YA KILA MWEZI.
KUNA KAMPUNI AMBAZO ZIMESHINDWA KUJIENDESHA NA SASA ZINA MIGOGORO ISIYOISHA MPAKA MAHAKAMANI.
NA WATU WALIFANYA MALIPO KWA AWAMU NA HAWAKUKABIDHIWA VIWANJA VYAO
MFANO KAMPUNI YA MADSON PROPERTY, OFISI ZILIKUA MLIMANI CITY TOWER GHOROFA YA 5.
KUNA KESI ENDELEVU HUKO MAHAKAMANI.
 
Umenifungua mkuu... shukrani sana
 
Back
Top Bottom