Ndugu wana jukwaa,
Katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya 5 chini ya Dk. John Pombe Joseph Magufuli, imeshuhudiwa matumizi makubwa sana ya waandishi wa habari katika kazi za viongozi (mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu na manaibu wao, wakuu wa taasisi mbali mbali, wakuu wa mikoa na...