tembeleh2
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 765
- 166
Ndugu wana jukwaa,
Katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya 5 chini ya Dk. John Pombe Joseph Magufuli, imeshuhudiwa matumizi makubwa sana ya waandishi wa habari katika kazi za viongozi (mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu na manaibu wao, wakuu wa taasisi mbali mbali, wakuu wa mikoa na wilaya) za kila siku.
Sikatai kwamba uwepo wa waandishi wa habari ni muhimu kwa maslahi ya wananchi na waandishi wenyewe (posho), lakini inafikia hatua viongozi hawatimizi wajibu wao mpaka waandishi wawepo, hii ni sawa? Na kwa nini sasa hivi matumizi ya waandishi wa habari yameongezeka sana kulinganisha na zamani (kabla ya awamu ya 5)?
Tujadili.