OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
For the known????!!!!!Kwanza akajibu case yake..Serekali toka lini ikataka kuuwa unknown person..Huyu elimu ya darasa 7 anataka umarufu
Mind your language...
For the known????!!!!!Kwanza akajibu case yake..Serekali toka lini ikataka kuuwa unknown person..Huyu elimu ya darasa 7 anataka umarufu
Escrow account ni Pesa za nani? Acheni ujinga.. msivurugwe akili na wasaka umaarufu
Sheria gani basi inaruhusu kuua japo hao unaodhani ni kwnown?
kutetea maslahi ya watanzania ni shida saaaana,badala ya kumuunga mkono mh d. Kafulila watu tunamdhihaki.
For the known????!!!!!
Mind your language...
Tena Kafulila asije fikiri kuwa watafanya makosa waliofanya kwa ulimboka na Kibanda. Hawakosei tena. yeye akitaka atulie na kupotezea hii ishu ya escrow!Lazima atauawa kwani anataka kuzuia fedha za ESCROW zilizochukuliwa na CCM ili kununulia wapinzani na wapiga kura mwakani. Kama atahurumiwa lazima ang'olewe kucha na meno kama fundisho.
Maccm kazi kupanga kuuwa tu.
Ule wenu Kafulila afe.
Mnaleta ya Dr. Ulimboka eh!?
Kafulila naye anaiga siasa za Dr.Slaa na Lema pamoja na Mnyika, hawa viumbe watu wa ajabu sana wameishindwa siasa wanatafuta huruma kutoka kwa wananchi.
Tanzania ni nchi iliyojaa wajinga wengi sana!watu wasiona ufahamu wa tatizo la nchi,watu wanaowagawa wananchi na wenye kutoa majibu rahisi kwa logical issues!ni ajabu sana,issue kama ya mr.Kafulila sio issue ndogo,huyu kijana analalamika,mwenyewe si chini ya mara mbili namsikia but watu wenye uwezo hapa JF wanasambaza utoto tu,ni aibu kwa nchi kama hii iliyokwama kuwa na vijana wanaofurahia kukwana kwa nchi...watu kama malaria sugu,lizaboni na wengineo wanadhalilisha 'ubinadamu' kiasi kwamba waweza jiuliza kumbe kuna binadamu wa aina hii?.Kwanini logical issues tusiwe pamoja kama taifa?,nawafuatilia sana walipinga richmond scandal,epa pia ufisadi kwenye halmashauri mbali mbali!hivi ni watu hawa?je wanafikiria wanachokiandika kabla ya ku post?....too shame!.Yeye ni tumbili hata akifa itakuwa sio kesi ya mauaji bali ujangili tu naona anasaka umaarufu kwa nguvu zote
Pesa ya serikali ni ya wananchi, ya shirika la umma ni ya wananchi na pesa yoyote itokanayo na shughuli za shirika hilo au serikali ni za wananchi!!!!!
Wananchi kwanza mengine baadaye, kama kuna hoja iwekwe ijitegemee sio kusema pesa sio za wananchi!!!!!!
Wakati authorization ya pesa hizo inafanywa na viongozi wa umma!!!!!!!????
Hoja ya hovyo sana na inatia hasira!!!!!
malalamiko ya huyu kijana kafulila ni ya msingi sana,kwa nchi za wenzetu ambazo zinawajika kuhakikisha usalama wa watu wake bila ya kutoa taarifa rasmi ingekuwa tayari organ husika wameanza kufanyia kazi malalamiko yake.lakini kwa nchi kama tz duh..maisha yake yako hatarini sana maana hapa tz ndio waona watu wanajichukulia sheria mkono kuua na ata mapolisi wanawapiga risasi watu hovyo tu mfano mauji ya wale vijana wa mahenge,kombe mfano iko mingi sana,hiko mitaani ndo usiseme mwizi wa yai anauwawa but mwizi wa dola 200 milion poa tu!....epa rudisha ela bwana!wanaombwa na kofia kubwa!.malalamiko ya kafulila ni ya msingi sana,ndio faida ya kuwa na waendesha mastaka binafsi ktk nchi.
Wewe lazima utakuwa umetokea Moshi.Watz tungekuwa makini watu kama huyu Ritz wasingekuwa na hata pumzi ya kutoa shombo kama hizi....lakini kwa ukondoo wetu dhidi ya mfumo kandamizi they are getting away with it. SHAME ON US!
Tanzania ni nchi iliyojaa wajinga wengi sana!watu wasiona ufahamu wa tatizo la nchi,watu wanaowagawa wananchi na wenye kutoa majibu rahisi kwa logical issues!ni ajabu sana,issue kama ya mr.Kafulila sio issue ndogo,huyu kijana analalamika,mwenyewe si chini ya mara mbili namsikia but watu wenye uwezo hapa JF wanasambaza utoto tu,ni aibu kwa nchi kama hii iliyokwama kuwa na vijana wanaofurahia kukwana kwa nchi...watu kama malaria sugu,lizaboni na wengineo wanadhalilisha 'ubinadamu' kiasi kwamba waweza jiuliza kumbe kuna binadamu wa aina hii?.Kwanini logical issues tusiwe pamoja kama taifa?,nawafuatilia sana walipinga richmond scandal,epa pia ufisadi kwenye halmashauri mbali mbali!hivi ni watu hawa?je wanafikiria wanachokiandika kabla ya ku post?....too shame!.