CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

Nafikiri G.Brain alikuwa anataka kutofautisha kati ya NGO na Political Parties sasa kwa kuwa uwezo wake wa kufikiri ni mfinyu akajikuta anachanganya kati ya Activists na NGO coz hata utetez anaotoa hauendan na hoja yake ya wanaharakat bali anamaanisha CDM ni NGO.
Activists, Political Parties na NGO wako kundi moja la CSO. GB nitafute nikuelimishe USIROPOKE TU.
 
kama waona chadema ni wanaharakati, basi nenda kwa tendwa mshauuriane juu ya hili, in the mean time wembe ni ule ule, hadi kieleweke.
 
Ninaunga mkono kazi nzuri inayofanywa na CHADEMA;kama inaitwa siasa ama harakati kwangu si jambo la maana.
 
wakulima waeshika jembe kwa miaka 50 sasa bila mafanikio. hivi, siku moja tu ambayo cdm inakutana na walalahoi kuwapa tumaini jipya ndio itaawaongezea umaskini zaidi ya ulioletwa na chama cha magamba kwa muda wote huo?
 
Dunia ya karne ya 21 inakwenda kwa mfumo chotara (hybridity). Wanachokifanya CDM ni ubunifu wa hali ya juu katika demokrasia ya zama hizi. Kwa siasa za karne ya 20, uchaguzi ukimalizika ndio mwisho wa kuhamasisha wapiga kura hadi uchaguzi ujao. Siasa za mfumo chotara - mwisho wa uchaguzi ni mwanzo wa 'elimu ya uraia' kwa wananchi. Achana na definitions za makamusi ya karne ya 20. Ninaweza kusema kwamba CCM wana propogandists waliokubuhu (mbinu za karne ya 20) na CDM wana strategists waliokubuhu kuweza kuzalisha kitu hii inaonekana kuwa wanasiasa/wanaharakati. Ni ubunifu mkubwa!!!!
 
kazi ukiyo nayo nikubwa kuliko unavo fikiri hakika busara inatakiwa kwako na si vingine mara nyingi anayekanyagwa ndie anae pata maumivu na vinginevyo kwa kuwa tulio wengi tunakanyagwa hatuna budi kutafuta suluhu hatuwezi kubishana na walio jitosheleza kwani huwa hawaijui shida ya mlalahoi hatuyapendi haya lakini imetubidi,
 
nijuavyo mimi mtu yeyote ambaye ni kula kulala hawezi jua ni nini chadema wanafanya kwa vile yeye hajui hata bei ya dawa ya meno anayo tumia kupigia mswaki lakini kwa yeyote anaye hangaika na maisha lazima atajua nini kinafanyika. By da way hatuwezi sema kwamba chadema wakiingia madarakani watagawa hela kwa kila mtu hapana lkn tunataka kujaribu upande mwingine wa shilingi tuone utendaji wake kwani huu upande uliopo umeonesha udhaifu ambao hata mtoto wa chekechea anautambua nawaomba wooote walio nielewa vema wasikatishwe tamaa na hao kula kulala wasio jua maisha yalivo kwa vile kila kitu wanaletewa hadi boxer wanasubiri mgao kwa baba au kwa mama kama si kwa dada zao walio olewa na shemeji zao.
 
Dunia ya karne ya 21 inakwenda kwa mfumo chotara (hybridity). Wanachokifanya CDM ni ubunifu wa hali ya juu katika demokrasia ya zama hizi. Kwa siasa za karne ya 20, uchaguzi ukimalizika ndio mwisho wa kuhamasisha wapiga kura hadi uchaguzi ujao. Siasa za mfumo chotara - mwisho wa uchaguzi ni mwanzo wa 'elimu ya uraia' kwa wananchi. Achana na definitions za makamusi ya karne ya 20. Ninaweza kusema kwamba CCM wana propogandists waliokubuhu (mbinu za karne ya 20) na CDM wana strategists waliokubuhu kuweza kuzalisha kitu hii inaonekana kuwa wanasiasa/wanaharakati. Ni ubunifu mkubwa!!!!

Sawa kabisa mkuu.Siasa za karne hiyo zilishapitwa na wakati na sasa ni mabadiliko.
 
Chama kikuu cha upinzani CHADEMA

baadhi ya viongozi ; aswa wabunge wamesahau wajibu wao kama wana siasa na kuwa wanaharakati.

Hii imejitokeza
1. Ziara ya baadhi ya wabunge kanda ya ziwa- kwa kushutumu baadhi ya vyama kuwa vianua upinzani. Na kusahau siasa ; lengo la chama ni kushika dola. Kulaumu kuna waweka njia panda wapiga ; kura

2. Kususia dhifa za kitaifa; viongozi wa chama wamesusia baadhi ya dhifa za kiaifa ambazo zina usisha ; vyombo vya ulinzi na usalama ; kama muungano; ili hali ; kama lengo ni kushika dola; hivi vyombo ni muhimu.

SITAWATAJA ; ILA WANAJITAMBUA NA SISI TUNAWATAMBUA WARUDI KWENYE MSITARI; HII SIO NGO ; HIKI NI CHAMA CHA SIASA

KUNA TOFAUTI KUBWA BAINA YA NGO NA POLITICAL PARTY

Nawasilisha
 
Chama kikuu cha upinzani chadema

SITAWATAJA ; ILA WANAJITAMBUA NA SISI TUNAWATAMBUA
WARUDI KWENYE MSITARI; HII SIO NGO ; HIKI NI CHAMA CHA SIASA

KUNA TOFAUTI KUBWA BAINA YA NGO NA POLITICAL PARTY

Nawasilisha

Kwa taarifa yako watu wanasusia hizo unazoziita sherehe za kitaifa kwani zinaendeshwa kichama na sio kitaifa zaidi. Ukiona chama kinapondwa kuua upinzani ujue sio kwa bahati mbaya bali ni kutokana na background zao. Na post yako iko kinafiki zaidi.
 
Too much typing errors
Kwani ikilewa lazima upost uzi?
Si ulale kwanza ulevi uishe!
 
Rudi kwanza shule ukajifunze kiswahili halafu ndo uje upost huo utumbo wako hapa. Shule yenyewe umeungaunga halafu unakimbilia kupost uozo hapa ukitegemea wenye akili timamu wasome. Miccm inataabu kweli nchi hii.

QUOTE=R.B;12599943]Chama kikuu cha upinzani chadema
baadhi ya viongozi ; aswa wabunge wamesahau wajibu wao kama wana siasa na kuwa wanaharakati.
Hii imejitokeza
1. Ziara ya baadhi ya wabunge kanda ya ziwa- kwa kushutumu baadhi ya vyama kuwa vianua upinzani. Na kusahau siasa ; lengo la chama ni kushika dola. Kulaumu kuna waweka njia panda wapiga ; kura

2. Kususia dhifa za kitaifa; viongozi wa chama wamesusia baadhi ya dhifa za kiaifa ambazo zina usisha ; vyombo vya ulinzi na usalama ; kama muungano; ili hali ; kama lengo ni kushika dola; hivi vyombo ni muhimu.

SITAWATAJA ; ILA WANAJITAMBUA NA SISI TUNAWATAMBUA
WARUDI KWENYE MSITARI; HII SIO NGO ; HIKI NI CHAMA CHA SIASA

KUNA TOFAUTI KUBWA BAINA YA NGO NA POLITICAL PARTY

Nawasilisha[/QUOTE]
 
Tulipo sasa hivi wanasiasa watuambie wataifanyia nini nchi hii itoke katika mfumo wa kifisadi unaodidimiza hali ya walalahoi.

Watarekebishaje wizara na mamlaka husika warudi kwenye ukweli, uwazi na uwajibikaji?
 
Chama kikuu cha upinzani CHADEMA

baadhi ya viongozi ; aswa wabunge wamesahau wajibu wao kama wana siasa na kuwa wanaharakati.

Hii imejitokeza
1. Ziara ya baadhi ya wabunge kanda ya ziwa- kwa kushutumu baadhi ya vyama kuwa vianua upinzani. Na kusahau siasa ; lengo la chama ni kushika dola. Kulaumu kuna waweka njia panda wapiga ; kura

2. Kususia dhifa za kitaifa; viongozi wa chama wamesusia baadhi ya dhifa za kiaifa ambazo zina usisha ; vyombo vya ulinzi na usalama ; kama muungano; ili hali ; kama lengo ni kushika dola; hivi vyombo ni muhimu.

SITAWATAJA ; ILA WANAJITAMBUA NA SISI TUNAWATAMBUA WARUDI KWENYE MSITARI; HII SIO NGO ; HIKI NI CHAMA CHA SIASA

KUNA TOFAUTI KUBWA BAINA YA NGO NA POLITICAL PARTY

Nawasilisha
Kwa umburula wako unashindwa kujua kuwa uana harakati ndiyo uana siasa wenyewe!!!!
 
Ni kweli kabisa, sifa moja wapo ya wanaharakati ni kuwa na papara/pupa katika utekelezaji wa mambo yao. hilo nimeliona sana CHADEMA.
 
Back
Top Bottom