Recent content by tecnohailali

  1. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Kibonde wa Jahazi-Clouds anaboa

    Anaongelea mapenzi na bia tu yani hana jipya.
  2. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Kumuomboleza Marehemu kwa nyimbo za Maombolezo na maneno ya kumpamba ni Kumpenda au ni Unafiki tu?

    Utakuta lijitu lilikua linafanya upuuzi duniani halafu likifa eti unalisemea mema niujinga wakiwango chalami ya zege.
  3. tecnohailali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ikifika sa 11 tu asubuhi dude lazima liamke!

    Mimi pia nimhanga wahilo
  4. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Domo punguza stress..

    [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  5. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Hizi Fashion za siku hizi!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Hela pekee niliyowahi kuokota maishani

    Sisi watoto wa hela nyekundu ngoja tukae kimya[emoji40] [emoji40]
  7. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Ukonga Dar: Ajali mbaya kati ya roli la mchanga na daladala aina ya Coaster

    Ile ajali isikie tu yani mpaka mlio wakishindo kikubwa tumeusikia nyumbani. Naomba nisahihishe kidogo. Daladala imesajiliwa kufanya safari zake kati ya Temeke na Makumbusho ila asubuhi ilikua ikitokea g/mboto kuelekea makumbusho. Nalori aina ya scania ikitokea mjini kuelekea G/mboto. Pale...
  8. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Kila anaekashifu dini yamwenzie Ujue mimba yake ilitungwa kwabahati mbaya na anaishi kwamakusudi. Kila mtu anaamini anachokiamini. Kila mtu anadini yake.
  9. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Wacheni kabisa kuwatukana viongozi wadini.
  10. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora la kushambulia meli

    Safi sana
  11. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 ni wa maamuzi magumu kwa jimbo la Kawe

    Upuuzi mtupu.
  12. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

    Hawa jamaa sitaki hata kuwasikikia
  13. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Nina shida na picha ya Tanganyika

    Kituko [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante
  14. tecnohailali

    JamiiForums Tanzania Nina shida na picha ya Tanganyika

    Ahsante mkuu
Back
Top Bottom