Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
Dah mkuu sijui nikushukuru kiasi gani ahsante sana ndugu
Ujenzi wa reli ya Kati Dar-Kigoma kianzia mwaka 1905
Kigoma
Dah mkuu sijui nikushukuru kiasi gani ahsante sana ndugu
Nimeona ACACIA AVENUE Ina maana ni hii hii Acacia ya Buzwagi na Bulyanhulu Inayopigiwa kelele za kutuibia dhahabu kupitia makinikia?? Au ACACIA Nyingine??Posta ya Zamani
View attachment 517461
Mtaa wa Kichwele enzi hizo
View attachment 517462
View attachment 517463
hiyo Itakuwa Acacia nyingineNimeona ACACIA AVENUE Ina maana ni hii hii Acacia ya Buzwagi na Bulyanhulu Inayopigiwa kelele za kutuibia dhahabu kupitia makinikia?? Au ACACIA Nyingine??
Ahsante mkuuPosta ya Zamani
View attachment 517461
Mtaa wa Kichwele enzi hizo
View attachment 517462
View attachment 517463
Kituko [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsanteUjenzi wa rail ya kati, Kigoma - Dar
View attachment 517456
View attachment 517458
Ujenzi wa Station ya Dar, wafanyakazi wakiwa chini ya ulinzi wa Askari wa Kikolini (watanganyika)
View attachment 517459