GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,646
Huo mpira akatangazie wapi wakati hata hapo clouds hajawahi kuitwa kwa kipindi cha michezo cha sports extra, NHC walishamaliza kazi yao.
You're very Stupid. Kila Weekend Yeye ( Ephraim Kibonde ), Maulid Kitenge, Ibrahim Masoud Maestro, Oscar Oscar na Edward Kumwembe ' Edo ' huenda Kufanya Match Commentaries and Analysis huko SuperSports / Dstv hasa kwa michezo ya Ligi za Ulaya isipokuwa Wao hufanya kwa lugha ' adhimu ' ya Kiswahili.
Baada ya ' ufafanuzi ' wangu naomba usinipotezee tena muda kwani nadhani ' Kiwango ' chako cha ' IQ ' ni kidogo sana kuweza ' kushindana ' na Mimi. Ila ningekushauri tu kwamba siku zingine kabla ' hujakurupuka ' kutaka ' Kujibizana ' na Mtu humu JF tena nadhani hasa hasa GENTAMYCINE basi jitahidi mno ujiridhishe ' Kidata ' vinginevyo ' ukijipendekeza ' kama hivi Mimi ' nitakuwasha ' tu.