nakushauri kitu kimoja kwanza,
Moyo umetanuka doctor amekwambia nini chanzo cha moyo kutanuka,,,
Mimi nilikutana na mambo kama hayo 2014,2015,2016,2017,2018 nimezunguruka kika kona
NIMEPIMA colestral , hb,ECG, valve,
Sukari,presha,Echo...Xray,,
Nikatoka hapo kikaenda clinik za tiba mbadala...