Mara nyingi napata tabu kusikia humu ni nyumba ya great thinker kwa kuwa tabia za watu wengi humu si wazuri kufikiri, kujenga hoja na wengi ni wadandia hoja.
Kwenye bandiko langu nilijaribu kuweka maelezo kuhusu Quran lakini pia nilisema moja ya mafundisho ya Mtume Muhammad kwa waumini wa...
In Islam, we are taught that God has given us a mind and the faculty of reason to look at things objectively and systematically for ourselves. To reflect, then to question, to reach the truth. Religion should not be accepted blindly, as some religions seem to do. In those religions, you are...
Kwanza ni jambo nzuri kupata mjadala kama huu, lakini napenda kuonyesha mleta mada hii haikuwa mtu wa kwanza kujadili mada hii kwa kuwa hata yeye amekwenda kuchukua sehemu nyingine na nitaweka source mojahapa
Answering Muslims: 2011
UONGO WA MTUME MUHAMMAD NA QURAN KUHUSU KUPASUKA KWA MWEZI NA...
Nafikiri kusema ni juu yangu utakuwa umekosea sana mimi nimepata muda wa kupitia maelezo na ukifananisha na hali ilivyo sasa naona ipo haja ya kwenda kwenye mfumo mwingine
"muda ndio msema kweli"
Ni ngumu sana kujadili kitu ambacho hujakiona wala kisoma napata shida kujadili hili, lakini ufahamu uwekezaji wa Mo kwa Simba siyo wa mtu ni kampuni so hata kama Mo akifa still mkataba utabaki mpaka miaka mitano ndio utakuwa unapaswa kujadiliwa upya uvunjifu wa mkataba huu pande zote zitahitaji...
Moja ya kufanya mabadiliko ni ku risk hakuna jambo lolote ambalo unaweza fanya na hasa kwenye uwekezaji bila ku risk
So mimi na fikiri kama Simba wamehitaji kuendelea au kubadilisha mfumo wa uendeshaji shughuli za club ni lazima wakubali ku risk
Ukisema Mo alishindwa kuendesha vilabu fulani...
Ukisoma vizuri sifa za Mungu wakati alipo muumba Adam utaona kwanini Adam alichaguliwa kuwa kiongozi wa dunia kwa kuwa baada ya Adam kuumbwa Mungu alimrudhuku Adam kwa kumpatia akili pamoja na yakini.
Sasa akili ndio hii ambayo inatupa utashi wa maamuzi kwenye matendo yetu ya kila siku kwenye...
Kuna mchangiaji mmoja nimeona amejaribu kuweka tofauti vizuri tunapo taka kujadili kuhusu Mungu ni lazima kuwepo na utengano wa uhalisi na kiroho.
Mjadala wa uweza wa Mungu hauwezi pimwa kwa muonekano wa uumbaji wake kwa kuwa kwenye maandikao mengi amekuwa ana kumbusha moja ya sababu ya tofauti...
Habari wadau
Kumejengeka tabia kwa viongozi wetu wengi kutumia neno mtanzania maskini, au mwananchi maskini
Matumizi ya maneno hayo kwangu mimi naona imekuwa kama kichaka cha kuficha mambo muhimu.
Je ni vigezo gani hasa vinatumika kutambua huyo mtanzania maskini?
Je vipimo hivyo vina usahihi...
Kaka yangu Paskali nimependa sana andiko lako, na hasa ulipo jaribu kumuelekeza bwana Professor, ukweli ni kwamba mara nyingi tunapenda kubisha vitu ambavyo havina msingi, hata mara nyingine unapata tabu sana kwa wasomi kutuangusha kama ulivyo sema
Ukweli utabaki kuwa Gadaffi alikuwa ni nguzo...
Mafuta ya Uganda ambayo wanataka kupitisha kwa bomba kwenda Tanga ni ghafi yanatakiwa kwenda kusafishwa ili wapate aina tofauti za
Mafuta ambayo tunazifahamu kama desel,petro, mafuta ya taa na kadhalika kwa maana nyingine bado yajawa tayari ya matumizi na bomba la mafuta la tazama hili lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.