Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Ni ngumu sana kujadili kitu ambacho hujakiona wala kisoma napata shida kujadili hili, lakini ufahamu uwekezaji wa Mo kwa Simba siyo wa mtu ni kampuni so hata kama Mo akifa still mkataba utabaki mpaka miaka mitano ndio utakuwa unapaswa kujadiliwa upya uvunjifu wa mkataba huu pande zote zitahitaji kulipa.

Pili pesa za uwekezaji wa mtaji wa 20b huu hautolewi kidogo kidogo na fikiri hufahamu kuwa hizi zitatolewa wakati tu atakapo kabidhia timu na imeonyesha jinsi gani pesa hizo zitakwenda kufanya kazi na hizi siyo za kulipa mshahara na gharama nyingine hizi zitakuja kupata faida yake ndani ya miaka mitano.

Mwisho ukisema nitazame account za simba sijui watafuta point gani huko mtaji wa simba siyo pesa coz hazipo, ila mtaji wao ni brand,fun base,propertise na wanachama sasa hii ndio wana value na inakupa thamani ya klabu siyo pesa walizo nazo kwenye account

Hata wewe leo hii ukitaka kufanya tathimini yako huwezi kuhesabu pesa ulizo nazo kwenye account but watu wanatazama properties zako na ubunifu wako ndio wana value thamani yako
Tme will tell , sisi tunatoa tip tu , ni juu yako kuchanganua
 
Nafikiri kusema ni juu yangu utakuwa umekosea sana mimi nimepata muda wa kupitia maelezo na ukifananisha na hali ilivyo sasa naona ipo haja ya kwenda kwenye mfumo mwingine
"muda ndio msema kweli"
 
ukitaka kujua uwekezaji huu ni magumashi hebu jishughulishe kutazama akaunti ya simba ina bei gani , au angalia simba inazalisha nini .

Hii maana yake ni kwamba Mo akipata matatizo yoyote ya uchumi basi simba imekwisha
Kwamba simba hawakuviangalia hivyo vipengele ni mazuzu au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom