Recent content by taxbabe

  1. T

    JamiiForums Tanzania VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

    Labda kusaidia tu. Work permit ni kibali cha kufanya kazi - ajira. Wanapewa wanaoanzisha biashara - investors au mwenye biashara na wanaoajiriwa au kujitolea kufanya kazi. Hii deal aliyoingia Zari sidhani kama ni ajira. Huwezi kumuita mfanyakazi wa keds. Yeye ni brand ambassador tu. Haitaji...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je kuna sheria inayonilinda kwenye yafuatayo?

    Sheria ya makosa ya mitandao. Hilo ni kosa la jinai na unaweza kumshitaki police.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria tufanye nini ili tupate haki yetu?

    Hiyo hukumu mlikaza vipi? Mlifwata utaratibu gani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aliyepata mimba kwa kubakwa, ajifungua

    Anahii kesi hachomoki. Kunaushahidi mkumbwa sana, mtoto. DNA ikipimwa, kesi imeisha. Na hawezi kusema huyo mtoto alikubali mwenyewe, yuko chini ya Miaka 18. So, ikambaka. Haina kubisha. Kesi iko straight forward.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aliyepata mimba kwa kubakwa, ajifungua

    Kwanza, familia ya huyo mwanaume haiwezi kuadhibiwa kwa kosa la ndugu Yao. Sheria hairuhusu. Sidhani itakuwa sawa wewe ulazimishwa kulipa deni la ndugu yako bila kupenda. It's not practical. Kama mtu hana ndugu, mtadai majirani? Pili, mtu kufungwa haimaanishi kuwa hatatakiwa kumlipa huyo binti...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aliyepata mimba kwa kubakwa, ajifungua

    Sheria haijakataza binti aliyebakwa kudai fidia ya hela. Huyu binti anaweza kudai fidia ya hela kutoka kwa huyu shetani aliyembaka. Hiyo ni juu ya kifungo cha miaka 30. Sema watu wengi hawajui haki zao.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyeanzisha vita ya Syria

    Kilichoanzisha vita sio kilichoandikwa ukutani na hao watoto, ni walichofanywa hao watoto na serikali baada ya kuandika
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mijadala ya katiba

    people like you are like a virus. Your ignorance can quickly spread like ebola, infect and kill commons sense. am guessing thats why sisiem has managed to rule for 50 years (despite other alarming reasons). the country is high populated with illiterate people, that can easily be swayed. but, i...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada:Haki ya mtoto aliye chini ya miaka saba

    Uhamuzi wa huyo dada ni sahihi. Hawezi akakaa kwa wazazi wa mwanaume asienampango nae. Kwenye swala la hela ya matumizi ya mtoto, mahakama inaangalia among other things, kipato cha baba. So, since haya mambo hayajafika huko. Its best aulizwe anataka how much. Then negotiate. Hakuna haja ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu minor contract

    Tafuta kitabu cha nditi cha contract usome.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Walezi wa Nasra wabadilishiwa mashitaka, sasa ni mauaji

    Postmortem inasemaje? Hicho ndo cha muhimu. Its doesnt matter alikufa baada ya kutoka kwenye mateso. What matters ni chanzo cha kifo. Je, kifo chake kilisababisha na mateso aliyopata kwa miaka minne?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

    People waste there lives building other people's dreams. Bakhresa Bill gates and steve jobs built fortunes without a degree.. Na wapo wengine wengi tu. I know alot of young people out there hapa Tanzania ambao wameamua kujiajiri and not long watakuwa one of the rich. Sasa kwa wewe mwenye...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Steven Masele atamkwe Shujaa wa Taifa! Ni kweli Balozi wa Uingereza ni Jasusi. To Hell with...!

    I think the issue here ni uwizi wa escrow account sio what masele said. Mimi huyo jasusi nimempenda bure. Mbona hakukanusha wala kukubali kuhusu huo uwizi? Watanzania siku zote hatutaki kuambiwa ukweli..
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, huyu anaweza akapata dhamana/bail

    Anaweza kupata bail. Hiyo kesi ya zamani haina uhusiano na kesi yake ya sasa.
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

    Never settle for less. If she can do better huko us then aende. Huyo mme atamfwata. Ni swala tu la kuelewana. Its a good career kick, she would be a fool to let it pass. Good things happen to people who are brave enough to take the risk. #teammaendeleo #
Back
Top Bottom