Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

Sisi tulipata watu kumi ktk tawi letu, na mikataba tulijaza tarhe 4 mwez huu, ila hadi leo tumebaki wawili tu, wengine wamesepa, mim mwenyewe nipo njiani kuacha, benk haina hata flayers, malipo kiduchu then vitu kibao mnajitegemea, kaz inahitaji kupiga simu mara kwa mara benk lakini hakuna allowance yeyote.

kazi kama hii bado tu upo hongera sana, sasa si bora utembeze mitumba unaweza pata zaidi ya buku 4 kwa siku
 
Hata kijana anayeuza karanga za mia mia anakuzidi mbali sana!
Nikki wa II kuja huku utoe darasa la "sitaki kazi"
 
Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas

hshshss, kwa hiyo alichoandika jamaa hapo juu ni uwongo, maana watu 39 ungepata lau 50000, au ungeongeza mmoja ukapata laki moja!! anyway, hii ilitakiwa wawape kazi wafanyabiashara kama walivyofanya CRDB.
 
Hata kijana anayeuza karanga za mia mia anakuzidi mbali sana!
Nikki wa II kuja huku utoe darasa la "sitaki kazi"

uko sahihi, sema vijana wanataka kazi za kutumikishwa, ukiwaambia waje tuuze karanga wanaona aibu, wakati mtu unaweza kuuza utumbo wa kuku ukarudi na faida ya elf40 kwa siku, hautozwi kodi na mtu, na hapo ushakula unarudi home kulala tu mwisho wa mwezi una zaidi ya milioni!
 
chukua like yngu ya maana mkuu!!
 
Tatizo mnapenda mno kazi za kuvaa tai na kupiga porojo,huku Uswazi natengeneza buku 10 kila siku kwa kukaanga mihogo na kuchoma mahindi,siri ya mafanikio ni kuacha aibu chumbani,wengi wanaoana aibu eti ah mi nichome mahindi au ah nikaange chips dume,matokeo yake mnaambulia buku moja baada ya msoto wa kutafuta watu 19,kwanza kumpata hata mtu 1 wa kujiunga na hiyo Saccos oh samahani Benki ni shida ,sembuse watu 19.

100% appreciated
 
Me mwenyew npo a
mployed hapa na hii bnk .ila kwa hili wanatuzslilisha vijana
 
People waste there lives building other people's dreams. Bakhresa Bill gates and steve jobs built fortunes without a degree.. Na wapo wengine wengi tu. I know alot of young people out there hapa Tanzania ambao wameamua kujiajiri and not long watakuwa one of the rich.
Sasa kwa wewe mwenye degree imagine what you can accomplish. Huitaji mtaji mkubwa, sometimes all u need is the skills u acquired in class.
ukijiangalia, what do u have to lose.. Ur already broke, u might as well go do something with your time... Justsaying#
 
heee jamani ni ukandamizaji au nini jamani ndo tanzania yetu hii?
ama kweli inasikitisha sana
 
umeoongea la maana sana mkuu kweli vijana wa siku hizi na akishaenda chuo basiiii anaona shughuli kama hizo hazimfai kwani yeyey ni msomi
uko sahihi, sema vijana wanataka kazi za kutumikishwa, ukiwaambia waje tuuze karanga wanaona aibu, wakati mtu unaweza kuuza utumbo wa kuku ukarudi na faida ya elf40 kwa siku, hautozwi kodi na mtu, na hapo ushakula unarudi home kulala tu mwisho wa mwezi una zaidi ya milioni!
 
dah its shame kwa kweli behind these "white collar jobs" kwa hiyo Harpo pamoja na tai yako hata mzoa taka anakupiga gap kwa mwezi...
 
Is it Ujamaa na Kujitegemea or Uzalendo? can the two be combined? on question of capitalism, does it mean that capitalism lacks patriotism?

That is the dillema facing Africa and Third World on chosing economic ideology and foundation for their own countries.

If we use Patriotism to equate success and stable growth of our countries, then capitalism can never win even though socialism has many flaws, but stands higher morally, hence strong element of patriotism with the likes of Nyerere, Nkrumah, Lumumba, Chaves and Castro!

Kuna haja ya kumtuma le mutuz akaweke mambo sawa kama NBC.
 
Ukikumbuka ile "full house" ya watu walioenda kufanya interview uhamiaji na mikataba kama hii ya kikoloni unagundua nchi yetu haielekei kuzuri.
 
uko sahihi, sema vijana wanataka kazi za kutumikishwa, ukiwaambia waje tuuze karanga wanaona aibu, wakati mtu unaweza kuuza utumbo wa kuku ukarudi na faida ya elf40 kwa siku, hautozwi kodi na mtu, na hapo ushakula unarudi home kulala tu mwisho wa mwezi una zaidi ya milioni!

mnawabumburusha wanini? Hii ndo fursa yetu tusio na aibu wauza sura juani tunaonekana hatukwenda shule!! tulishaawambia na kuwaelmisha lkn wanataka kazi za mteremko
 
Hadi leo nina akaunt 15 kaz ya siku nne hyo. 40 ntafika tu mpaka mwez uishee.
 
Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas

Pole ndugu, kumbuka haba na haba ujaza kibaba
 
Back
Top Bottom