Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Siyo tetesi tena,JK kasema muda wa kampeni bado
 
Hakuna lolote wanataka kupiga hela kwny safari za kampeni
 
Wakizuia sisi tutaendelea kujadali katiba hapa JF au na huku watazuia ?.
 
Kweli waraka kandamizi wa midahalo umeandaliwa na prof mbayuwayu...kichinachina hiyo.
 
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.

Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.

Hii sio mijadala kama unavyodhani wewe. Ama kama wanavyojitoa ufahamu ndugu zako. Ni kwamba tunaisoma hiyo rasimu pendekezwa ili tuwe na ufahamu wa kutusaidia kufanya maamuzi sahihi wakati wa kupigakura ya maoni. Kuna ubaya gani kubadilishana mawazo kupitia midahalo. Tatizo mtu akishaiingia dhambi ni ngumu sana kutoka hivyo mpaka waue mtu ndo mioyo yao itatulia wakiona damu. Mazombi bwana.
 
Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.

Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.

Ila we dada kama hukutumwa basi una tatizo katika ufahamu wako. Tofautisha kati ya kampeni na mijadala ya kuisoma rasimu ya katiba. Lengo ni kutaka ufahamu wa katiba. Besides mliona njia sahihi ni kuleta fujo ktk mdahalo. Kama lipo nje ya sheria ya uundwaji wa katiba mbona haikutumika njia stahiki kuzuia. Au tujue kuwa nyie ni wahuni kiasi hicho?. Kwanza umefuatilia mchakato tangu mwanzo au umepata bwana interahamwe juzijuzi ndo kakukremisha. Maana hata UKAWA huielewi unaongea tu. Anyway tunaweza kuwa tunabishana na mtu kumbe sio mtu. Wengi sasa hivi wameshageuzwa kuwa wanyama na viongozi mapepo wa sisiem. Labda na wewe.
 
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.

Of course the process was undemocratic. Labda kwa wezi.
 
ccm wameshaona maji yanataka kuwakaba koo wanajisarandisha tu eti wanataka kufunga midahalo ya kiatiba wanacheza na wananachi , hawajui kuwa wananchi wana akili zao wanataka kuwapelekesha km magome miti thubutuu
 
fujo wameleta ccm kwa kuwapandikiza walee watu wao na kuingia nao kinyemela kule kwenye mdahalo ukawa hawajaleta fujo ya aina yoyote kuwa mwelewa
Ila we dada kama hukutumwa basi una tatizo katika ufahamu wako. Tofautisha kati ya kampeni na mijadala ya kuisoma rasimu ya katiba. Lengo ni kutaka ufahamu wa katiba. Besides mliona njia sahihi ni kuleta fujo ktk mdahalo. Kama lipo nje ya sheria ya uundwaji wa katiba mbona haikutumika njia stahiki kuzuia. Au tujue kuwa nyie ni wahuni kiasi hicho?. Kwanza umefuatilia mchakato tangu mwanzo au umepata bwana interahamwe juzijuzi ndo kakukremisha. Maana hata UKAWA huielewi unaongea tu. Anyway tunaweza kuwa tunabishana na mtu kumbe sio mtu. Wengi sasa hivi wameshageuzwa kuwa wanyama na viongozi mapepo wa sisiem. Labda na wewe.
 
Waraka wenyewe ni wa kisengesenge tu.....bado kidogo tu..nchi washaiweka rehani.
 
Hii sio mijadala kama unavyodhani wewe. Ama kama wanavyojitoa ufahamu ndugu zako. Ni kwamba tunaisoma hiyo rasimu pendekezwa ili tuwe na ufahamu wa kutusaidia kufanya maamuzi sahihi wakati wa kupigakura ya maoni. Kuna ubaya gani kubadilishana mawazo kupitia midahalo. Tatizo mtu akishaiingia dhambi ni ngumu sana kutoka hivyo mpaka waue mtu ndo mioyo yao itatulia wakiona damu. Mazombi bwana.
sidhani kama kuna mtu ana expect elimu ya katiba itatolewa bila ya katiba husika tatizo ni uongo wa hadithi za vitu vilivyotolewa kwa sababu ya msingi kutumiwa kuwaongepea watu kuwa imechakachuliwa as if rasimu ya tume ndio ilikuwa katiba.
 
people like you are like a virus. Your ignorance can quickly spread like ebola, infect and kill commons sense. am guessing thats why sisiem has managed to rule for 50 years (despite other alarming reasons). the country is high populated with illiterate people, that can easily be swayed. but, i can't say the same for you.
i know it, you know it, that the proposed constitution is rubbish, yes total rubbish. yet u defend it. i know u dumb. but i believe, there is a part of your brain that can still analyze things logically. kama, kweli hiyo katiba pendekezwa ni nzuri kwa watanzania kwanini wazuie midahalo? ukweli utabaki kuwa ukweli. they have a freedom of speech. hawajalazimisha mtu kuwasikiliza. we choose too.
all in all, just because your asked to post cr*p, doesn't necessary mean you should. its a good thing you did this on jamii forums. i am embarrassed for you.
nimemaliza..........
 
Back
Top Bottom