Miaka zaidi ya kumi aise umepata mke,
Umenifanya nimemkumbuka xwangu alikuwa ananiganda nikawa naona kero ndiyo nikamtafutia sababu mtoto wa watu nikamkimbia ,
Ila haya majanga ambyo ninayo Acha tu,
Shika sana apo ulipo ukimbadilisha utajuta.
Unaweza ukajiona upo sawa Ila wanaokuzunguka wakaziona kasoro zako,
Kwa wanawake wengi waliyolelewa na single mother wengi wao pia huishia kuwa single mother kwa ajili ya viburi na wao kujiona wanaweza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.