Recent content by tatanyengo

 1. tatanyengo

  Msaada: kuinua Spacio

  Naomba kufahamu kama inawezekana kuinua kidogo gari aina ya Spacio kwani iko chini. Je kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara gani?
 2. tatanyengo

  Msaada: Xperia

  Naomba msaada wa namna ya kuifanya Memory Card iwe internal memory. Nimebaini kuwa simu yangu (Xperia) ina internal storage ndogo (1.82GB). Cha kushangaza kuna sehemu imeandikwa total space 16.00GB. Nikijaribu kudownload kitu kutoka Google store/play, inaniambia space is not enough. Msaada...
 3. tatanyengo

  Huyu akamatwe haraka sana

  Anayeweza aandike 10,001/=kwa maneno!
 4. tatanyengo

  Hili gazeti la Jamhuri linamilikiwa na nani?

  Alishasema hagombei hivyo mnajihangaisha buure!
 5. tatanyengo

  UDOM wamesogeza kufungua chuo hadi Nov. 14

  Ni jambo jema kwani wanafunzi, walimu na wafanyakazi wengine wanaandaliwa mazingira ili waweze kufurahia utumishi na uanafunzi wao wawapo UDOM. Hongera serikali kwa kusikia kilio cha wana UDOM.
 6. tatanyengo

  Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

  Ni kweli kwamba uwanja ulijaa watu, wakiwemo vijana na washabiki wa Diamond. Baada ya kugundua kuwa hakuna cha Diamond wala nini, wakaanza kutoka uwanjani. Kumbe watu wanakwenda kwenye campaign kwasababu mbalimbali, mojawapo ikiwa in kuangalia burudani! Jambo la pili nililojifunnza hapa...
 7. tatanyengo

  Shule ya Mbuyuni Kutoa First Ladies Wawili

  Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
 8. tatanyengo

  MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

  Dogo kachaguliwa kwenda Ashira sekondari kusoma HKL. Naomba kufahamu kama iko vizuri kitaaluma na malezi. Nitafurahi pia nikipata mawasiliano na yeyote mwenye mtoto anayesoma Ashira au ya mwalimu wa Ashira.
 9. tatanyengo

  Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

  Hongera mkuu. Watu wana chuki binafsi. Kwa kuwa hilo limedokezwa na Mengi basi anapuuzwa. Angesema Mzee tupa tupa wa lumumba angeungwa mkono. Watu wa usalama mzee Mengi ni msaada kwa uchunguzi wa kifo cha Kamukara (kama uchunguzi unahitajika).
 10. tatanyengo

  Kwa Hili TECNO Mnastahili PONGEZI

  Kila imburi hula kwa urefu wa kamba yake mura Ilisorokobwe. Akipata fweza atakuwa na vipaombele vingine, siyo simu. Techno yatosha.
 11. tatanyengo

  Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

  Tatizo la ukosefu wa ajira nchini Tanzania ni kubwa kama ilivyo kwa nchi nyingine ulimwenguni. Kwa sasa ukosefu wa ajira Tanzania umefikia 11.7%. Naweza kusema asiyeona kama kuna tatizo la ukosefu wa ajira ana matatizo ya kufikiri.
 12. tatanyengo

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Leo amekana na kusema yeye ni mtoto wa serikali za mitaa. Swali: Pinda ana wazazi wangapi?
 13. tatanyengo

  Mkulima aenda kuchukua fomu za urais, ashindwa kulipa milioni, atoweka

  Mgombea urais ndg Edfonce kutoka Kigoma ambaye ni mhitimu wa darasa la saba amechukua fomu ya kugombea. urais. Ninavyofahamu ni kuwa mgombea urais anapaswa kuwa na elimu ya chuo kikuu. Sasa imekuwaje huyo ameruhusiwa kuchukua fomu?
 14. tatanyengo

  Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

  Kama kawaida umeme umakatika. Nahisi harufu ya kufanyiziana. Siyo bure!
Top Bottom