Recent content by tatamajuva

  1. T

    Maafisa Elimu kata wengi kutoshirikishwa mafunzo ya sensa ngazi ya mkoa mkurugenzi wa sensa taifa toa mwongozo haraka

    Maafisa elimu kata ambao mwongozo wa sensa kitaifa unaelekeza wangeshiriki mafunzo kuanzia ngazi ya mkoa Hilo halijafanyika kwa mkoa wa shinyanga kwa wilaya ya shinyanga DC, MSALALA, USHETU,KISHAPU , hizi ni baadhi ya sehemu nilizofuatiliwa. Kuvunja maelekezo ya mkoa hiyo haikubaliki.
  2. T

    SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Acha uongo , Kama wewe ni kilaza lazima incomplete ikuhusu. SAUT wapo makini sana , ndo maana ukiwa mzembe lazima upate shida. SAUT Ina vyuo wenza zaidi ya 10 Tanzania bara, hivyo unapotoa ushauri wako usidhani hatujui SAUT ilivyo. Motto wa chuo ni NO FEE NO SCHOOL, Kama hujajipanga usiende...
  3. T

    NMB yasitisha rasmi huduma ya Salary Advance

    NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022. Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha. Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni Tete katika bank hiyo.
  4. T

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    SALARY ADVANCE YASITISHWA RASMI Salary advance jhuduma iliyokuwa inatolewa na nmb imesitishwa , hii imetokea mwezi huu June 2022. Bado tatizo halijajulikana. Nmb tunaomba ufafanuzi
  5. T

    Serikali ni vyema ikatoa tamko Kama imesitisha kutoa fedha ya elimu bure

    Serikali kutopeleka fedha ya elimu bure kwa shule za sekondari na msingi kwa mwezi May 2022 kumesababisha usumbufu mkubwa kwa taasisi hizo kwani wameshindwa kununua vifaa vya shule, kukarabati majengo na vitu mbalimbali shuleni. Serikali ni vyema ikatoa tamko kama imesitisha kutoa fedha ya...
  6. T

    Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

    Uchaguzi wa kocha una vigezo vingi, tusiwaingilie viongozi kwenye mchakato huo. Kamwe haitatokea kuingilia mchakato huo Kama walivyoajiri makocha waliopita. Acha kuwatukana viongozi Kama ni ushauri toa
  7. T

    Mohamed dewji atunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA)

    Huyo no Rais wa heshima wa Simba ambaye atajulikana Kama Dr Mohamed dewji baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA) Huyu jamaaa ni hatari kwani ametoa hotuba ambayo imewafanya wanachuo na dunia nzima kuamini kuwa huyu ni msomi mbobevu. Dr mo dewji Ana kipaji Cha...
  8. T

    Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

    Joseph selasini nadhani aliyoeleza yanakaribiana na ukweli kwani katika utawala wa mwendazake James mbatia alikuwa akifanya ziara mikoani kuimarisha chama chake huku akipokelewa na wakuu wa mikoa,. Mfano mzuri alipofanya ziara mkoa wa mbeya alipokelewa na mkuu wa mkoa wa wakati huo CHALAMILA
  9. T

    Manonga NMB Shinyanga - Dirisha la Hundi tafuteni dawa yake

    Bank teller dirisha la cheque (Hundi) NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhisha Muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea Hundi zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma. Kwani anarundika Hundi za siku moja au mbili...
  10. T

    Kocha wa Simba SC, Pablo Franco ni Kocha mzuri ila anahitaji wachezaji

    Naunga mkono !Pablo is the best coach
  11. T

    Mkuu wa mkoa Shinyanga imulike Don Bosco-Didia, inarudisha wanafunzi nyumbani wamalize ada ya mwaka mzima ilhali wanatakiwa kulipa ya mhula wa kwanza

    Hii ni habari ya kusikitisha Sana kwa uongozi wa Don bosco-didia Shinyanga ukiongozwa na fr OMONDI ambaye ni mkenya kurudisha wanafunzi baada ya kumaliza likizo ya pasaka April 2022. Kwa taarifa ni kwamba wazazi ambao watoto wao wamerudishwa nyumbani na hivyo kukosa masomo wamelipa Ada yote ya...
  12. T

    Mkuu wa mkoa Shinyanga imulike Don Bosco-Didia, inarudisha wanafunzi nyumbani wamalize ada ya mwaka mzima ilhali wanatakiwa kulipa ya mhula wa kwanza

    Hii ni habari ya kusikitisha Sana kwa uongozi wa Don bosco-didia Shinyanga ukiongozwa na fr OMONDI ambaye ni mkenya kurudisha wanafunzi baada ya kumaliza likizo ya pasaka April 2022. Kwa taarifa ni kwamba wazazi ambao watoto wao wamerudishwa nyumbani na hivyo kukosa masomo wamelipa Ada yote ya...
  13. T

    NMB -MANONGA DIRISHA LA CHECK NI TATIZO

    Bank teller dirisha la check NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhisha kwani muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea check zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma. Kwani anarundika check za siku moja au mbili bila...
  14. T

    Wawa amekwisha, kocha anatupa presha kupangwa kwake

    Hii imethibitisha katika mechi ya Simba vs Dodoma jiji. Kila Zama na wakati wake , kipindi chake kimeisha, pia na umri umemtupa mkono wa kuendelea kumuamini. Mechi ijayo na RS BERKANE kocha tafadhali usitupe presha. Nadhani tumeona makosa aliyoyafanya dhahiri ambayo Kama Dom jiji wangekuwa...
Back
Top Bottom