NMB -MANONGA DIRISHA LA CHECK NI TATIZO

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Bank teller dirisha la check NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhisha kwani muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea check zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma. Kwani anarundika check za siku moja au mbili bila kuzifanyia kazi ni mvivu wa kazi. Ana dharura nyingi.

Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.

Wekeni mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.
 
Shinyanga: NMB Manonga, telller anayeshughulikia check ni tatizo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom