Wawa amekwisha, kocha anatupa presha kupangwa kwake

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Hii imethibitisha katika mechi ya Simba vs Dodoma jiji.

Kila Zama na wakati wake , kipindi chake kimeisha, pia na umri umemtupa mkono wa kuendelea kumuamini.

Mechi ijayo na RS BERKANE kocha tafadhali usitupe presha. Nadhani tumeona makosa aliyoyafanya dhahiri ambayo Kama Dom jiji wangekuwa makini, tungezungumza mengine.

Tulidhani labda alitaka kutufungisha kwa kupewa mzigo timu Fulani yenye utamaduni wa kununua mechi.
 
Siku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
 
Siku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
Wakati huo huo akina Sakho, Banda, Chama, Morrison na Kagere watakuwa wamesimama
 
Siku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
Yanga (mama wa nyumbani) kwakweli ni kiboko ya kutoa vichapo kwa watoto nyumbani.
 
Hujui chochote kuhusu mpira we choko!! Kufunga goli sio ishu, angalia mikimbio yake, positioning,pace, agility, eye for goal,n.k

Magoli hata wawa anafunga ila bado haimfanyi kuwa ni mchezaji mzuri.

Umenielewa ma mdogo.?!
Kagere Tena unamlaum wakat ndo alifunga goli zur na tam!!! Acha bangi zako bhana ustuletee hapa
 
Back
Top Bottom