Manonga NMB Shinyanga - Dirisha la Hundi tafuteni dawa yake

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Bank teller dirisha la cheque (Hundi) NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhisha

Muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea Hundi zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma. Kwani anarundika Hundi za siku moja au mbili bila kuzifanyia kazi ni mvivu wa kazi. Ana dharura nyingi.

Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.

Wekeni mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.
 
Back
Top Bottom