hii hela ya kujikimu ni ndogo sana kwa hadhi ya Dr. Slaa,hâta Kama document hii ni kweli au uongo mimi kesho nitaenda mtaa Wa Ufipa Kinondoni yalipo makao makuu ya chama changu cha CHADEMA na nitatoa laki Tano(500,000) ili kuboresha ziara ya Katibu Mkuu Wa Chama Changu.
Huwa namshangaa sana huyu ZeMarcopolo,na akili zake zote za udaktari lakini bado huwa anabeba nasaba za ajabu sana, nadhani huwa kuna mamna ya kuadhirika kiakili unapokuwa unashabikia CCM
it's very encouraging. Lazima uwe unajiamini na kuaminika ili kupata nafasi kama hizi. Hongera sana Dr. Slaa and Viva CHADEMA:peace::peace::peace::peace::peace:
Habari zenu wakuu,
Nina HTC Desire inanipa error message ya kutokusoma sim card japo hapo kabla ilikuwa inafanya kazi vizuri, nimejaribu sim cards za kampuni mbili tofauti za simu lakini tatizo liko palepale.Msaada wenu tafadhali.
Asanteni
Jana abiria wa FastJet ndege ya saa tatu na dk 45 usiku toka Kilimanjaro to Dar wapatao 62 wamelala KIA bila huduma wala maelezo yeyote kwa maafisa wa uwanja na wafanyakazi wa fastJet waliwakimbia,pia polisi wa kituo cha KIA hawakutaka kuandikisha maelezo ya tukio hilo a kuonyesha wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.