Wananchi wa mbeya walia na SUGU

Wananchi wa mbeya walia na SUGU

Du, Bulesi, nilikuwa naku hold in high esteem kutokana a michango yako humu jamvini, but this contibution is low, too low.
Mbeya mjini visionaries eh!
Watu karne hii kuna nyumba za udongo kati kati ja jiji!!!
Na mbunge wenu kilaza amehamasisha watu kwa vipi na hiyo vision unayoiona wewe!!

Come on , a limited vision from yourself is more or less myopic.
You seem not to note that you are in a hole, and all what you can see is the rot around you, and your representative does not have the slightest idea how to go about solving the problems-that is apart from stupidly picking up a fight with the law!

Tembea muone hata nji hii, leo Bukoba ina mpango maalum wa kuendeleza mji uwe wa kisasa, kwa kupitia mipango hii hii ya serikali. Huku kwetu Sugu yuko busy kupigana na polisi bungeni.
And you have the nerve to say you are visionaries!
Visionaries my foot!!

Tunajua kuwa wewe huwezi kukubali lakini sisi watu wa Mbeya hatuwezi kuacha Rais wetu Sugu aendelee kudhalilishwa hivyo. 2015 lazima mtajua tu kuwa Sugu anapendwa na watu wa mbeya. Mtahangaika sana lakini huo ndio ukweli. Nimepita mitaa mingi hapa Mbeya wanaishangaa sana CCM. Mbona wanampa Sugu umaarufu wa bure hivi. Maana anaonekana ni mtu anayethubutu sana.
 
Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.

Pole kaka watu wa Mbeya tunampenda sana Sugu. Huyo ndiye Rais wetu bwana. Nyie mnafikiri mmemdhalilisha lakini hapa Mbeya amepata umaarufu sana kaka. pita mitaa ya hapa utapata majibu tu. 2015 mjiandae kutahiriwa tu kaka.
 
Jamii ya wavuta bangi inampenda sana Sugu.
 
Jamii ya wavuta bangi inampenda sana Sugu.

Kama ni hivyo basi Nchi hii inaongozwa na wavuta bangi kaka. Maana hata viongozi wenu wa CCm Hapa wanashangaa umaarufu anaopata huyu jamaa. Kama watu wa Mbeya ni wavuta bangi basi sana tu hakuna shida cha mhimu sugu ndie Rais wa Mbeya.
 
Kwani sugu anatoka chama gani? ulitegemea Nchemba akamsaidie Kiongazi wa kambi ya upinzani asitolewe nje?
 
Kama ni hivyo basi Nchi hii inaongozwa na wavuta bangi kaka. Maana hata viongozi wenu wa CCm Hapa wanashangaa umaarufu anaopata huyu jamaa. Kama watu wa Mbeya ni wavuta bangi basi sana tu hakuna shida cha mhimu sugu ndie Rais wa Mbeya.
Sahihisha usemi wako, Sugu ni Rais wa wavuta bangi na mateja wa Mbeya!
 
Sahihisha usemi wako, Sugu ni Rais wa wavuta bangi na mateja wa Mbeya!

hakuan shida kaka Wavuta bangi wamemchakugua yeye na 2015 atarudi bungeni tene kaka. Sihitaji kusahihisha.
 
hakuan shida kaka Wavuta bangi wamemchakugua yeye na 2015 atarudi bungeni tene kaka. Sihitaji kusahihisha.
Endeleeni kulipuliza , karibu huyo F4 mtamuona mungu wenu.
Mpeni fursa nzuri ya kujiongezea manundu bungeni!
 
Jamani ninyi semeni tu, lakini huku mbeya SUGU ni president, na tunampenda balaaaaaaa!!
 
Badala ya huyu jamaa Nape kuendelea kuropoka akiwashambulia wapinzani kuhusu fujo Bungeni,Inapasa amkemee Ndugai kwa ujinga anaoufanya
 
Usidanganye umma bwana.
JF si kikao cha siasa mbofu mbofu.
Actuaaly wananchi makini wa Mbeya wamekasirishwa sana kwa Sugu kudhalilisha ubunge wa Mbeya Mjini.
Na kama wahenga wasemavyo, usirushe jiwe sokoni-waweza kumpiga mama yako.
Askari aliye pigwa na Sugu jichoni anaitwa Cpl. Nikwisa Nkisu, umipata hiyo?

Kwa jina tu unajua anatoka wapi.
Itabidi Sugu wenu aende kijijini kwao kujieleza kwa kumpiga kijana wao "akimtetea" bosi wake Mbowe bungeni.

kwa hekima yako ya kidunia unadhani alichoamuru KIPAZA SAUTI cha CCM (ndugai) ni halali na alitumia busara!!!!!!!!!!!
 
Hv toka 2010 mumchague sugu wana mbeya ni maendeleo gani kawaletea zaidi ya vurugu tu??
 
Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.

Na wewe wazazi wako hasa mama yako alipe fidia kwa kosa la kuzaa tahira kama wewe
 
Back
Top Bottom