Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,500
- 7,431
Kwa mara ya kwanza kila timu inaomba ipangwe na Manchester United.
Ha ha ha,ila kwa nje ndo timu rahis,ila mambo yabadilika
Kwa mara ya kwanza kila timu inaomba ipangwe na Manchester United.
kwanini kila mtu anapredict kuwa Chelsea itapangwa na Dortmund?
Manchester naomba tupangwe na Dortmund.
- Manchester United v Bayern Munic
- Paris St-Germain v Chelsea
- Real Madrid v Borussia Dortmu
- Barcelona v Atletico Madrid