Nimeichangia CHADEMA wewe je?

Nimeichangia CHADEMA wewe je?

pilipili usio ila nayo iko shambani inakuwashia nini? maulidi si yako kanzu waivalia nini? unakiherehere cha kuhemewa kisogoni, dume jike tutakutongozea hapa hapa mwishowe utajikuta na wewe unaichangia Chadema kuleta mabadiliko ya kiutawala wa haki hapa nchini, kama unaakubaliana na mimi rusha buku tano Sasa hivyi, M-PESA malipo kampuni 213040 account M4C kiasi 5000 weka namba ya siri dhibitisha 1 Asante sana coz hata nawe shots utakuwa umeshiriki ukombozi wa pili wa taifa letu.
kiruavunjo kuna baadhi ya post wala huhitaji hata kuzijibu ni kupoteza muda na nguvu, hili jambo ni fimbo mbaya kabisa kwa ccm hivyo lazima waje na kejeli za kila namna
 
Last edited by a moderator:
BI30PR334 Imethibitishwa. Tsh50,000
imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED
kwenye akaunti namba M4CJohn Kundi tarehe
31/10/14 saa 11:08 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh360,825.

utafika mbali mkuu.. wana CHADEMA tunakushukuru saanaaa
 
Mchangieni tu Dj Mbowe azidi kuporomosha mijumba ya kifahari huko Dubaï.
 
Ni tukio la kipekee jioni ya leo la uzinduzi wa kuchangia CHADEMA kwa njia ya mtandao, limefana sana na mpaka matangazo yanaondoka hewani tayari ilishapatikana cash zaidi ya million 7
Go go CHADEMA.....GO UKAWA..!!!hujachanga tu fanya hivyo sasa

Suala la kuchangia chadema halijaanza jana ni la kitambo, tatizo ni accountability ya matumizi ya fedha hizo......
 
Ha ha ha hiyo pesa ya UKAWA au CHADEMA...? Any way CDM bado ipo tu na kwenye ile ndoa yenu ya Usho.ga imevunjika?
 
Na kwa nin mambo ya kukaa juan kama pale jangwan Mbowe anawashirikisha akina Lipumba ila michongo ya pesa anapiga peke yake?
 
Suala la kuchangia chadema halijaanza jana ni la kitambo, tatizo ni accountability ya matumizi ya fedha hizo......

Ha ha ha hiyo pesa ya UKAWA au CHADEMA...? Any way CDM bado ipo tu na kwenye ile ndoa yenu ya Usho.ga imevunjika?

Na kwa nin mambo ya kukaa juan kama pale jangwan Mbowe anawashirikisha akina Lipumba ila michongo ya pesa anapiga peke yake?

Mfa maji heshi kutapatapa najua kimewauma sana lakini ninyi mnatembea sisi tunakimbia stay tuned 2015 sio mbali
 
It's too difficult mshana jr I'll use another phone to do that transaction,anyway! Because CHADEMA is all about our future prosperity!
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA ni mpango wa Mungu! nitachangia tarehe kumi, mwezi huu! jamani tukichangie chadema, ukombozi unakaribia!
 
nashukuru mi ndo wakwanza kabisa nimechangia mil 7 cash.
 
nashukuru mi ndo wakwanza kabisa nimechangia mil 7 cash.

Sidhani kama unasema kweli kwakuwa screen ilikuwa inaonyesha cash flow ya jinsi watu walivyokuwa wanachangia na mpaka muda wa kumaliza kurusha matangazo ndio ikawa imepatikana hiyo m7
 
Back
Top Bottom