Habari wanajamvi.
Naomba mwenye uelewa wa chuo kinachotoa short kozi za marketing na taarifa zingine zinaxoambatana na kozi hiyo kama lini intake mpya inaanza madomo, ada, etc.
ninahitaji kijinoa kidogo uelewa wangu.
Asante ni kwa kunisaidia
Jamaa yangu andika kitabu kabisa cha democrasia nchini Tanzania maana kuna mapoint umeongea yameniingia sana nikatamani watanzania wapate wasaha wa kusoma. Big up
Usijali best umri wako bado Sana'a mi mwenzio Nina 35 hata mchumba sina lakini Nina Imani nitaolewa vizuri tu.
Usikate tamaa utaishia pabaya na pia usipapalike kuwa umri unaenda ukaangukia kwa wrong person ukaja kujuta. Ndoa bwana sio ya kuikimbilia kimbilia.
kuna MTU kanipa disinfectant nioshee uke na kiasi kingine nivukize Kwenye uke eti ni dawa inaua vijidudu vya U.T.I sasa matokeo yake nilivyofanya hivyo kwa siku tatu Ndo mashavu yakavimba na kukaanza vidonda hapo hapo nje ya mashavu.
Nimeacha Mara moja na kugundua kuwa yote ni madhara ya...
vituko haviji kuisha. kama kweli hiyo makubusho IPO ni ubunifu mzuri na itakuwa na visitors wengi sana kwa sababu hiyo ishu inagusa maisha ya wengi. Tutaenda kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya watu na namna yalivyovunjika
Hayo yote yanawezekana mbona Mimi Nina 34 mwanamke mume wangu ana 29 na tunapendana sana.
umri ni namba tu wapendwa cha muhimu ni mapenzi ya kweli kila MTU kukubali kuishi na mwenzie tokea moyoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.