Mimi sasa,
Mwaka 2008 nikiwa Tanga. Jioni nilitoka kazini nikawa nimekaa mbele ya nyumba ambapo baba mwenye nyumba alikuwa na kibanda cha chips.
Mara ooooh! Akanambia kuna Dada kabila langu amepanga jizi hapo jirani. Nikaona siyo mbaya nimwendee tufahamiane. Nilikuta bonge la demu. Alinikaribisha ndani (nakumbuka alikuwa hajanunua kitanda alikuwa godoro chini). Alipika chai nikanywa mdogo mdogo narusha jicho.
Mara jioni ikaingia. Alianza kupika humohumo ndani. Ghafla alitoka nje. Alirudi kajifunga kanga. Muda si muda akaifungua humo ndani. Lahaula! Kisketi cheupe kifupi sana. Hips zote nje! Dunia tamu hii kama una nguvu.
Nilikuwa nimekaa chini kwenye godoro, anainama kukorofisha kwenye sufuria. Nyuma nilimuunga mkono kwa kuchungulia mzigo. Roho ilinishinda nikamuomba nimpe kampani kwa siku hiyo. Alikataa. Kidume nikajua sitaki nataka za akina dada.
Nilogomea humo ndani mpaka muda wa kulala. Akashuka kwenye godoro na kimini chake. Jamani, kilichofuata............... Mimi sijui. Nakumbuka aliniuliza swali hili "siku zote unawafanyaga hiviiiiii.....?" Sikujibu!
Tulijikuta alfajiri tumekumbatiana! Hoihoi!
Alfajiri ile nilikuta bado room yangu iko wazi, taa inawaka na television iko wazi tena sauti ya juu kama nilivyoiacha jana. Sijawahi kumwona tena maana tangu siku hiyo nilimkwepa nisije kulowea nikasahau mchumba wangu. Nilihofia kupata maambukizi maana mchecho ulienda mubashara. Bahati nikakuta niko vizuri.
Sitasahau mapenzi yale. Popote alipo nampa salam sana!